Wanawake tunachoangalia........kwenye first date......

weeee.....unaenda wapi na starlet........huku bila LX hutaweza........

Hizo exam si nitafanya kwa one week. Enh kuna jamaa yangu dereva kwene NGO wanahardtop. Ok dear, nitakuja na ile hardtop yangu japo sipendi sana kuitumia unajua tena manual na sisi watu busy hatuivi nazo. See you soon. Sasa hii trip ngoja nianza kujipanga, manake kuna gusi, viatu vipya mkanda mpya, suluari ile ile ya mwaka mpya haijachoka, enhee kingine wese mpaka manyala mwanangu dereva wa serikali yule atanijazia tank wakati wa kwenda, pale moshi, mwanangu mosha nitambomu kilo nikijiandaa kama kilo saba hivi nitasogea sogea. Ngoja nianze kulazimisha trip za njee ya ofisi nikikaa humu ndani yaeda chini itanishinda hivihivi ngoja...... Boss, Unaja wale wa Tabora hawajatuma report inatakiwa tuwafuatilie physically
 

batoto ba bogo bazuri sana. banajua nini banataka kutoka kwa banaume
 
kuna baadhi ya pointi si rahisi kuninasa, coz vile nikipiga tai ni tofauti na nikivaa raba in motion, na nikuchekeshe sasa demu moja juzi kaona wallet yangu bana, si kaanza ooh wallet mbaya imechanika, haivutii unashindwa kununua...................nikacheka sana! Baadaye nikamwambia wallet imechanika kwa sababu inazidiwa nguvu na noti....acha avunjike mbavu, so it can be true to some extent, but dznt apply in every man!
 


Nimeguswa na hizi hapa!

4. Kama pesa hutoi kwenye waleti hujazoea kuwa na pesa tena yawezekana hata laki
hujawahi kushika.

6.Kama hutunzi nywele zako hata zake hutazigharamia.

Nisema kwamba wakati nasoma O level, kuna mwalim ambaye hata kama hana hela, alikuwa anatunisha mifuko yake ya nyuma na waleti zikiwa na makaratasi. kwa vile hakuwa na shape nzuri pia, walim wenzake na wanafunzi walikuwa wanamcheka sana. Mi huwa hiyo waleti sina na sitamani kuinunua.
Pili, kweli mimi sina nywele, napenda kunyoa upala na huwa napendeza kinoma naacha na ka mstachi kakuvutia na pia kwenye kidevu kinachofanya mwanamke anitazame mara mbili. Nikiweka na koti langu la mtumba weeeee Preta hutajali hata kama sina waleti!
 

Imenigusa ujue..........ushukuriwe sana, ila mbona habari ya kujazia haipo, na ndio turufu yangu? wewe vp Preta
 
Last edited by a moderator:

ukipata mwenye hizi sifa ujue umelamba dume... hata mkija kuachana mnagawana mali sawa kwa sawa sababu mtakuwa mmechuma wote toka mwanzo
 
Inawezekana kweli labda ndivyo wanawake mnavyopenda..but ukija kiuhalisia hakuna hata moja linaloaaply hapo.
Kumu-impress mwanamke hainaga formula whether ni first date au date ya kumi..hizi recipes ni za kufundishia tu but ukizifuatisha hupati kitu...kuna wakati unaeza jiuliza hivi huyu binti kampendea nini huyu na kwa nini kamtosa yule?
Haya makitu bana ni upepo wako tu...ila usisahau pia 'kuvimbisha wallet'..kudeposit na kuwithdraw.. hili ndo la muhimu...................
 
preta yuko right sometimes unapaswa kutafuta mpenzi ambaye hatakuletea shida zisizo na msingi, so unakuta mtu teja na wewe sio mtumiaji si unajitafutia matatizo tuu.
 
Da hapo namba 4 si wengine ndo tulie tu.Toka nisahau waleti yangu yenye mihela kwenye choo cha bar ,niliapa kutoweka hela kwenye waleti !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…