Wanawake tuna maneno

Haa nisivopenda kushea cm na mtu nimeeka PW kabisa...

Huo ushost wa kua huru na cm yangu hapana aise
Hapo sasa

Kwanza kwenye simu wanatafuta umbea tu...

Asome msg zako

Kama shosti kigego achukue na namba ya mahabuba wako ajipeleke peleke

Aaaaiiiiiii yaani nina shosti 2 tu wa kufa na kuzikana ila hakuna anayeshika simu ya mwenzie

Na kuna limitation

Hata kandambili hatuvaliani
 
Siri na shosti no tutakaa kula kunywa saa yangu ikifika goodbye siku tunaachana hana la kusema mwanamke mmbeya sipatani nae kabisa.
Wanawake wengi wanashindwa kutofautisha na kuweka mipaka ya urafiki.....


Kuna shosti wa kutoa nae stori tu

Kuna wa kupeana dili na aidia za biashara tu

Kuna wa kula nae bata tu....huyu kwenye shida hanuonani

Kuna wa kucheka nae tu

Kuna mmoja wa kushea BAADHI ya furaha zako na vilio vyako nasisitiza BAADHI.....

pia kuna shosti wa kupiga nae umbea tu......walahi
 
Mimi ni mchoyo wa cm yangu kwakweli. Hata dogo hua simpi ila yake nagusa lol

Huu ushost ukiendekeza badae ni majanga tu heri kua na mipaka
 
Tatizo hamsikii, yani mshaambiwa
acha maneno weka muziki
lakino wabishi tu
 
Niunge na mimi kwenye kigroup chenu shoga?

Mi wanawake nimewasusa..
 
Niunge na mimi kwenye kigroup chenu shoga?

Mi wanawake nimewasusa..
Njoo ujiunge nami sinaga maneno ni mwendo wa kuweka mziki.
Endelea kuwasusa hao wanawake njoo kwetu wanaume.
Jamani naweza pata bahati kama ya kuokota gari kwenye nje ya nyumba yangu baada ya mafuriko
 
Aliyewaroga alikuwa uchi na alishafariki..!
 

Mie nasubiri atakaesema yeye ndio alimfanyia ndivyo sivyo shosti yake. Maana hapa kila mtu anamsingizia shosti.
Nawewe Shosti yako alikufanyia nini?? Mimi mwingine ananisema eti namtega mume wake hahaha nimwendo wa shosti tu
 
Hahahahaha wa.umbeya hapana achelewi kugeuza kibao kwamba wewe ndio umesema.......kweli unatakiwa kuangalia nani wakumwambia habari zako
 
Hahahahaha wa.umbeya hapana achelewi kugeuza kibao kwamba wewe ndio umesema.......kweli unatakiwa kuangalia nani wakumwambia habari zako
Umbea unatakiwa kuwa msikilizaji tu.....

Usifungue mdomo kuchangia litakuozea

Uzuri wake huyu atakuletea info zooote za mjini
 

Ndio uache kumvalia mume wa mwenzio vimini.
Mimi nipo na maisha yangu navaa navotaka ilimradi nisivunje sheria tu na tumezungukwa na wanaume wengi tu iweje mumewe ambae ni jirani yangu ??? What if mumewe alimwambia mkewe as a defense mechanism?? What if he wanted to rap me the first day nafika hapo?? what if mumewe anatabia chafu za mazoea ya kutaka kunishika shika afu mimi nimchekee tu?! What if nilikemea nikamchamba mumewe mpaka ikifikia hatua ya ku- snitch juu yangu?! na ujue mkewe ni shoganguu so lazima ajihami Kuna mengi bibie Don't judge me mamaa u don't know what is behind the carpet..
 
Mie was just kidding mama, hauwezi kuacha kufanya jambo linalokufurahisha eti kisa fulani atasema.
 
We mwenyewe si unaona hata akili zao huyu jukwaani zilivyo.Eti oh rafiki yangu,shost wangu,mara mpenzi wangu.Ni kama vile vichwani kwao hamna mawazo mengine zaidi ya umbeya na mapenzi tu.
 
We mwenyewe si unaona hata akili zao huyu jukwaani zilivyo.Eti oh rafiki yangu,shost wangu,mara mpenzi wangu.Ni kama vile vichwani kwao hamna mawazo mengine zaidi ya umbeya na mapenzi tu.
Huu nao ni umbea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…