Wanawake tuna maneno

Ni kama mwamvuli wa kujikinga na udhaifu,maana wanawake by nature tu mna ka udhaifu flani hivi
 
Mkuu utakuwa umechukuliwa mpenzi wako tu..hakuna jipya hapa
 
Pole sana dada, hilo si tatizo kwa wanawake tu bali hata wanaume pia.

Hao ndio watanzania ambao machoni ni kama binadamu lakini moyoni ni Wanafiki.

Watanzania ni watu wa ajabu sana duniani.
 
Baada ya kugundua kuwa 'Friends can hold you back' na kukuona wa ajabu unapokua na shida niliamua kujikata kabisa, mara yangu ya mwisho kuwa na best friend ilikuwa ni O'level kuanzia Advance sikuwa na rafiki mpaka sasa yaan I'm not interested kabisa
 
Mkuu utakuwa umechukuliwa mpenzi wako tu..hakuna jipya hapa
Sijachukuliwa mpenzi maneno tu nimechokaa,hata nikichukuliwa mpenzi ,wapenzi wapo kibaooo wala sina shaka
 
Elimu, elimu, elimu Na kutafuta pesa tukifanikiwa Kwa hili hata muda Wa kusemana hakutakuwa nimeona hii Kwa magroup ya wanawake wanaojitambua kiakili mkikutana mnaongea business sio umbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…