Wanawake tuna maneno

Mi kuna mmoja aliniharibia Mahusiano yangu ya kimapenzi...

Halafu akawa anamtongoza huyo mwanaume...

Tokea hapo wanawake niliwavulia kofia
Ndio tabia zetu. Na ukute kukuharibia kote hata kudumu naye hajadumu naye.
 
Ndio hivyo ilivyo mkuu, kisaikolojia unamkuta mtu ana matatizo kibao, sasa kusikia mwenzake ana matatizo anajiona kama hayupo peke yake, so inakuwa ni kama faraja flani
 
Pole sana.. Kwani wewe ni mzuri? Kama wewe ni mzuri wanawake wenzako hawataacha kukuletea maneno...
 

Mara hii mshatibuana na Rukia?

Au Pendo ndo kakukwaza?
 
Pole sana.. Kwani wewe ni mzuri? Kama wewe ni mzuri wanawake wenzako hawataacha kukuletea maneno...
ilo nalo neno maana ukiwa mzuri unaringa ukiwazidi kidogo tu unaringa na hela sijui anapata wapi basi tabu tupu...
Tungekua tunapendana kweli kweli na kushikamana kusaidiana km ilivyo kwa me tungekua mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…