Wanawake tumekuwa tukiwaweka wanaume kwenye ‘friend-zone’, sasa wamekuja na hii

Niliwahi kuwa kwenye fuckzone na rafiki...baadae nikaona mwenzangu anaanza kutaka kujua nilipo..nimetoka na Nani..na masharti kibao..kumbe alianza nipenda na sikuwa na mzuka wa kupenda...nikasepa zangu...
 
Back
Top Bottom