Wanawake tumekuwa tukiwaweka wanaume kwenye ‘friend-zone’, sasa wamekuja na hii

Nadhani kama ana umuhimu zaidi ya kupiga stories then hayo mengine yanaweza yasitokee maana mtakuwa na ya kuongelea zaidi ya private life especially relationships/sex ambazo ndizo kichocheo kikubwa.

By the way kutamani ni asili lakini kuruhusu tamaa zikutawale ni ukosefu wa nguvu ya akili na wabongo wengi sio futuristic bhasi wakila wakishiba ni ngono. Huo urafiki hauwezi kuwepo kwa hali hiyo
 
ma friend zone na ma fuzone, mi huwaga nasema siku zote kama mnakuwa marafiki na mmoja wenu anapata shida na hauwezi kumsaidia huo urafiki hauna maana kabisa. Mi nimewahi kumsaidia dada mmoja university fee bila ya kuonana, yeye arusha mi Dar, Siku nilivyompa taarifa naenda A-town bada ya miaka 5 hivi na nitakaa kwa siku 4, alinilipia lodge na akaja na Boy friend wake kunitembelea, mpaka sasa yupo Germany na tunawasiliana. Sasa nyinyi wakina Paula Paul mnafikiria kutafunana tu?
 
Yes, Nilikuwa na strong feelings na mwanaume mmoja but he was not a relationship material. He was a womanizer and he was really cheap kuomba omba vitu vitu hata tukipanda daladala anategemea mimi nilipe and he wouldn't even buy me a single handkerchief. Loser!

Actually I couldn't be his friend after that. I had to throw the whole man away because I never be friends with any straight man, and worked out in the end. I don't even entertain the idea.
 
Kuna kadada chuo nilikatongoza hakikunijibu chochote kalikua kananiterm as friend kuna kipind nilikua nilikakatia wire akinitafuta analalamika tu kwanin sitaki kuwa rafiki yake bhas nikavumilia urafiki mpaka sasa ila tusingeweza kutofanya na ndio maana naamin hakuna urafk wa mwanaume na mwanamke
 
Back
Top Bottom