Wanawake tukaze buti bila woga

Wanawake tukaze buti bila woga

Mods muvumisha hii makitu jukwaa la malalamiko.

Hapa ni MMU si pa kulalamikalalamika.

oyaaaa tuache tukaze buti tena tumeagiza machine guns kwa ajili yenu lol
 
samahani kama nitawakwaza wanawake wenzangu
lakini,threads za kulalamikia tabia za hawa wenzetu zimekua nyingi mno
kama ni watu wanaosikia,kuelewa na kujirekebisha watajirekebisha tu
tusihangaike na maneno yao
lets move on jamannnnnnnnnnnnnnnnnnnnniiiiiiiiiiiiiiiiii
forgive n forget

mi nashangaa jamani hata sielewi mijitu isiyokujua/msiyofahamiana wanakubabaishaje?nahisi kuna watu wana maisha magumu sana mtaani imagine humu tu hivi je huko mtaani/maofisini kwenye kero na majungu ya kila aina inakuwaje??
 
Sielewi!
Usitegemee kuwa na watu waliofanana akili hata siku moja, jf ni jamii yenye watu wenye muono tofauti. Unataka kila mtu awe na afanye unavotaka? It will be boring,
 
lakini mkumbuke na nyie mna viuzi vyenu vina madongo mwanzo mwisho ati..... lakini poleni maana mmeguswa bila shaka mleta ule uzi anafurahiiiiiiii kuona ujumbe umefika
 
Mtusamehe kwa niaba ya waliowakwaza....Binafsi nilishaliongelea kwenye thread kama 2 tatu hivi, inakera sana kwamba tukwaa limebadilika kuwa kijiwe cha kueneneza ukabila na kunyanyapaa watu bila kusahau kumdharau mwanamke.... Kwa upande wangu nawaheshimu sana wanawake japo wapo wengine wenu wamepinda labda hata kuwazidi sisi wanaume ila kwa wingi ni wachache. Take my note...hawa wana stress zao ila kila mara tuwaambie kwani tukivumilia huu ujinga nasi tutaonekana wajingax2
 
ayanda take a little trouble n read,you will have the answers for who and what wrong
move on other stuffs rather than keeping on lamenting
forgive who exactly? and for what wrong exactly?

and where should we move on to?
 
Last edited by a moderator:
umeona amu..hivi ni kujichosha tu..ukiachia thread juu yao,wataachia thread juu yetu..mzunguko hautaisha..hii rai ya kuheshimiana imekua kama wimbo sasa..tuanze utekelezaji..haya ya mtandaoni hata hatufahamiani yasitunyime raha ivoo
mi nashangaa jamani hata sielewi mijitu isiyokujua/msiyofahamiana wanakubabaishaje?nahisi kuna watu wana maisha magumu sana mtaani imagine humu tu hivi je huko mtaani/maofisini kwenye kero na majungu ya kila aina inakuwaje??
 
Last edited by a moderator:
Una muda gani tangu mara yako ya mwisho kuitumia JF hasa MMU?

Nina sababu mpaka nakuuliza hayo

Nijibu halafu niasema nilichotaka kusema!!!!!!!
 
mi nashangaa jamani hata sielewi mijitu isiyokujua/msiyofahamiana wanakubabaishaje?nahisi kuna watu wana maisha magumu sana mtaani imagine humu tu hivi je huko mtaani/maofisini kwenye kero na majungu ya kila aina inakuwaje??


ha ha ha ha haaaaa!!!!!!!!!
 

pole sana cousin
ila kwa kua maneno na uzushi wao
haukutii doa,potezea tu.ndio mitandao yetu hiyo!!
 
mh wadada mnaumiaje!

mie mwenzenu napenda sana hizo mada zao za kizushi maana zinanifanya nichekeee hadi niongeze siku.

jamani kina kaka leteni mada za kuponda wanawake, ndo nzuri zaidi.
muda wa kucheka hakuna sasa, kuna muda wa kujifunza tu.
 
Pole sana cousin... Hata mie binafsi nilikwazika na thread ile... Cha muhimu ni kumblock sendee basi hutokaa uone upuuzi wake.....

"Kumbuka kuwa kuna wanaume kama mabinti" Nukta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom