Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

Kwa mlivyo nadhani hayo ndo maumivu makali sana ambayo huyapitia nyie kina mama
 
Wamama nawaheshimu sana. Nakumbuka mke wangu alitaabika siku nzima akaja kujifungua siku ya pili yake tena kipindi hicho mimi nipo masomoni. Kipindi anahangaika mimi nikawa napiga simu kujua anaendeleaje yaani alikuwa mkali sijawahi kuona nilikuwa nachimbwa biti si la nchi hii.
 
Ahhaah mi nilimuambiaga marufuku kukanyaga hospitali ,,nikamchukia balaa lenyewe linalala usingizi mzuri mi nahangaika
 
😡 😡 😡 😡

Wa pili nawaza sana itakuwaje
 
ahaha mm nakumbka hapo saa 2 usk nipo hoi..nikamuita Dk wa kiume !nikamwambia nisikilize vzr nachoumwa maana manesi hawatak kunpa panadol!heehe nikamweleza nitabirie dk ntazaa saa ngapi!akaniambia ww utazaa saa 11!jaman yale maumiv hayafai jaman!niliumwa uchung toka saa 1 asbh nikajiopen saa 11 alfajir !nilipelekwa labor na mume wangu !jaman nilikuwa namuuma mgongon ananiambia mbiti unaniumiza mie sielew ktu! asbh naitwa jina langu mume kaja niletea uji jaman niliangusha kilio sio cha nchi hii !bas mwenzangu akawa anacheka tu!

nilianza kutembea fresh baada ya miez 2 nilikua natembea km narudi nyuma !nikaambiwa mtoto alikalia 'masozi 'za miguu !yaan huwa tunakumbshiana na Mr nacheka hatari !najipanga nirudi tuu tena siwez ishi bila ya bbygal jaman!
 
Mmmhh shikamooh mama mie nilivyoenda leba nasikia nilisema "uwiii wanaume wote wafe" manesi wakanijibu afe wa kwangu tu maana waume zao bado wanawapenda hahahhaha sitaki kusikia leba maana akili haikuwa yangu mweehh shkamooh mama
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…