Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

Aisee uchungu nihabari nyingine jamani alafu usiombe uumwe uchungu wa damu mwanzo mwisho sitaki hata kukumbuka maumivu yake mama naheshimiwetu hakuna kama yeye
 
Kwani unafikiri yule aliyesema ww utazaa kwa uchungu na ww utakula kwa jasho alimuonea mtu acheni habari zenu buana hata sis tunawalisha kwa jasho.
 
Aisee nimeona huruma sana queen na aina ya wakunga unaokutana nao.n better u change hyo hospitali n hatar
Pole sana
 
Kumbe ulivonambia we bado bikira ulikuwa ni mpango wa kunichuna tu
 
Wanaume Tunawaheshimu Sana 'Hakuna Kama Mama'
 
Hivi kuna midume nayo imekuja kukomenti humu.?!
Jamani huu uzi wa kike wanaume wa Dar acheni mambo ya kike twendeni kule jukwaa la siasa.!
Sio wanaume tu hata nyie madogi mmekuja kukomenti kwenye huu uzi. We lazima ni mbwa wa Dar .
 
Hapo usinikkumbushe, niliishiwa mpaka uchungu kisa sipigi kelele. Mimba ya kwanza halafu sijui hata kusukuma. Moro pabaya ila that was 34 years ago.
First born wako ana miaka 34? Kama ni wa kike nipe nimfanyie mpango naye aende leba
 
Huyo hana K. Ana mfereji wa Suez unaofanya kazi badala ya K
 
Na bado baada ya hapo, baodo ulienda kufanya matukio yaliyokupeleka leba nyingine
 
Kwa hili la kuzaa nawapa hongera wanawake wote duniani has a waliozaa kwa njia ya kawaida,, walio zaa kwa operation wasubiri tu,
Kisa,,,
Mwaka juzi nikiwa katika mishe zangu maeneo ya temeke hospital kwa nyuma ya majengo ya hospital ile kuna branch ya Bank ya NMB,sasa nikiwa naelekea huko nikasikia sukuma!sukuma!sukuma!mala nikasikia kilio na kauri sifanyi tena,sifanyi tena nakufaa,,,dah gafla jamaa akatokea akaniambia hapo ni ward ya wazazi,,Shikamoo wanawake
 
Hukusema kwamba ulijisaidia haja kubwa palepale, najua ulifanya hivyo!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…