Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

Kwa Msungo Kama wewe ataona ni jambo la kawaida Kama unavyolichukulia wewe na wala sikushangai sana!
Lakini Kwa aliyefundwa ni mtihani kuyasema hayo Kwenye watu wengi wa jinsia tofauti!
Sasa nikuulize swali;
Hivi unazani Kwa mfano ni kila Mtu yeyote anaruhusiwa kuingia leba wakati wowote kwenda kuona yanayofanyika ?
Kuna kitu kinaitwa " Privacy" na human dignity !
Na ndomana Hata chooni kunawekwa Milango Mtu akifika anafunga wakati wa kujisaidia , la Kama ni hivyo wajenzi wasingekuwa wanaweka Milango maanake kile kitakachokuwa kinafanyika kule kina hujulikana na Kila Mtu kwanini Mtu ajifungie? Si ndo hoja yako ya uwazi na kuwa watu wanajua toka sekondari kupitia somo la biolojia?!
 
Hata hivyo Kama nimekukosea naomba unisamehe !
Siyo kusudio langu kukukwaza!
 
unafanya nin kwa huu uzi sasa
 
Kabisa mie huwa hivi vitatu naviona ni vigumu sana.

  1. Kupata hedhi
  2. Kubeba ujauzito
  3. Kujifungua
Hongereni sana Wanawake.

Hahahahaha hiyo no.1 (kupata hedhi) one of my bf alikua ananionea huruma saaana nikiingia period eti anaona naumia sanaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],kumbe mwenzie walaaa siumii vitu vinatoka vyenyew tu mpaka inabid kumwambia siumiii bhana usisikite
 
Reactions: BAK
Wewe ni wale wenye bahati wengine huugua kupita kiasi kwa siku mbili hadi nne. Hoi kitandani, ila mie naona karaha ya kuvaa yale madubwasha kwa siku zile Mgeni anapokuwa amekuja kusalimia.

Wewe ni wale wenye bahati wengine huugua kupita kiasi kwa siku mbili hadi nne. Hoi kitandani, ila mie naona karaha ya kuvaa yale madubwasha kwa siku zile Mgeni anapokuwa amekuja kusalimia.

Wanaugua maumivu ya hedhi tumbo ,kiuno wengine mpaka homa .....sasa yeye anahisi pale panatoka damu kwenye papuch ndo panauma [emoji23][emoji23][emoji23]!!! Yale madubwasha yanakera kweli kweli na hayazoeleki.
 
Hahahahaha lol! Huyu BF wako alikuwa ni hatari sana. Sijawahi kusikia hii LoL! Hahahahaha

Umeona eeh! Tena kuvaa kwa 24hours mpaka mgeni aondoke zake.

Mama sabrina umeelezea kwa hisia pole na hongera
 
Wanaugua maumivu ya hedhi tumbo ,kiuno wengine mpaka homa .....sasa yeye anahisi pale panatoka damu kwenye papuch ndo panauma [emoji23][emoji23][emoji23]!!! Yale madubwasha yanakera kweli kweli na hayazoeleki.
Hivi hedhi huwa inawabadilisha mood labda hasira, concentration n.k
 
Hahahahaha lol! Huyu BF wako alikuwa ni hatari sana. Sijawahi kusikia hii LoL! Hahahahaha

Umeona eeh! Tena kuvaa kwa 24hours mpaka mgeni aondoke zake.

Bora ingekuwa 24hrs ..... ni siku 3 mpaka 5 unafanya kazi ya kubadilisha kila baada ya masaa kadhaa mpaka wageni waondoke [emoji17][emoji17][emoji17]
 
Reactions: BAK
Ni shidaaaa. Kuna nchi sikumbuki ni ipi imepitisha hivi karibuni kama sikosei siku zote hizo tano KE anaweza kusema anaumwa na kulipwa mshahara wake wa siku ambazo ni mgonjwa.

Bora ingekuwa 24hrs ..... ni siku 3 mpaka 5 unafanya kazi ya kubadilisha kila baada ya masaa kadhaa mpaka wageni waondoke [emoji17][emoji17][emoji17]
 
Na hii Serikali dhalimu ambayo inaadhibu hadi Wanafunzi kwa kupata mimba na hivyo kukosa elimu hili sahau kabisa.

Duuuuu hii tanzania haiwezekani !!! Makampuni watagoma kabisa kuajiri wanawake , maana hizi likizo za uzazi tu wanalalama wengine kafikia mpaka kuajir wadada wachache ili kukwepa kero za likizo nyingi
 
Wanawake wa sikuhizi eti kuzaa wanaona shida nakumbuka miaka ya nyuma mwanamke anajifungua mwenyewe bila kwenda hospitali wala nini na baada ya miaka miwili anajifungua tena ila sikuhizi hata kusukuma tu hawawezi hebu ona matumbo yao yalivyojaa mishono.
 
Na hii Serikali dhalimu ambayo inaadhibu hadi Wanafunzi kwa kupata mimba na hivyo kukosa elimu hili sahau kabisa.
Kaka off topic;naomba unitafutie kajisong kazuuri cha kuapologize cha kizungu lakini....[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…