Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,416
- 7,655
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hapo stimu yote kwishinei, anakufanya hanithi kwa muda.
WalaaUwii[emoji23]tutaharibu uzi wa watu
Si ndio unipe experience yako?Kama huna kaka huwezi kuelewa, msikilize huyo jamaa hapo juu!
Nakuja myloveNakusubiri eti
Tunatoa sana, kuna wanawake wanatia aibu sana.
Kuna binti tulitoka out ikiwa ni mara ya kwanza kuonana ana kwa ana.
Tulipata chakula cha jioni/usiku pamoja sehemu tulivu na bora kabisa.
Tukiwa tunapiga stori za hapa na pale akaanza:
1. Baby baada ya siku mbili ni birthday yangu
Anaomba 200k nikasuke
2. Halafu sina kiatu kizuri.
3. Naomba zawadi isiyopungua 300k
4. Sijui nini nini nini...aghhh
Kwa maoni yangu alipaswa kunipa taarifa then aniachie mimi nijiongeze.
Kwa kifupi nilimuona ni fyatu
PoapoaNywele zimefumuka rafiki! Baada ya kusoma hii comment[emoji3][emoji3] naomba pesa nikasuke
Mpe mko shida nini?Kuna fyatu lingine lipo huku
Lilisema linashida na elfu 50[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si ndio unipe experience yako?
Khaaah!Mi sina dada, niliishi na binamu zangu... kama wanahusika ninaweza kukupa uzoefu!
Ipi mkuu
Miss Renee au?
Sawa mkuuSipo hapa kuuza mbinu mkuu![emoji28][emoji28]
Boss, si ungempa tuKuna fyatu lingine lipo huku
Lilisema linashida na elfu 50[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Angalia usijekuwa unamsema N plz sitakusamehe ujueKuna fyatu lingine lipo huku
Lilisema linashida na elfu 50[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unanijua???Namjua vizuri, sema kwa ID ile nyingine.[emoji12]
Mteme mpenziUnanijua???
Hebu aelezee mazingira yao kwanzaBosi, si ungempa tu[emoji51][emoji51][emoji51]