lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,481
Naomba tuongee chemba kidogo,tafadhali.Ili nigundue nini?
Ndo wazitoe sasa kabla hatujawaomba.
Naomba tuongee chemba kidogo,tafadhali.Ili nigundue nini?
Ndo wazitoe sasa kabla hatujawaomba.
Oooh jmnWacha imwagike![]()
Kwani ndo mwisho wa dunia, kama alitoka kwenye ubavu wa mwanaume ataendelea kumutegemea mwanaume mpaka mwisho wa kiama. Imeandikwa.Tunamshukuru mungu kwa kumaliza mwaka na kuanza mwaka huu mpya. Ushaur wangu kwa wanawake tunauanza mwaka huu mpya naomb tuuanze kwa mabadiliko makubwa
Kwanza tuache kuomba pesa kwa wanaume , wanawake tuchape kazi tupambane kujitafutia rizik tujikwamue kweny dimbwi la umaskini na kutumika ovyo kisa pesa. Siku hizi tunatumia ovyo tumekuwa Kama public toilet kisa kuendekeza umaskini mtu akikupa hela kidogo umehamia na mimba unabeba mwisho unatelekezwa. Wanawake wenye shughuli zao wanajiamini pia wanamisimamo na wanaheshimika Sana. Tuache kujidhalilisha kisa pesa ,pesa zinatafutwa bwana
Tutafute pesa tuwapunguzie wababa mijengo majukumu tuwasupport jaman Hawa wababa Kuna wakati wanazidiwa mpak wakifike nyumban akun tabasamu kwa mastress ya familia. Tunyanyuke jamani kudanga ,kuchuna mwisho 2020
Hapo stimu yote kwishinei, anakufanya hanithi kwa muda.Tunatoa sana, kuna wanawake wanatia aibu sana.
Kuna binti tulitoka out ikiwa ni mara ya kwanza kuonana ana kwa ana.
Tulipata chakula cha jioni/usiku pamoja sehemu tulivu na bora kabisa.
Tukiwa tunapiga stori za hapa na pale akaanza:
1. Baby baada ya siku mbili ni birthday yangu
Anaomba 200k nikasuke
2. Halafu sina kiatu kizuri.
3. Naomba zawadi isiyopungua 300k
4. Sijui nini nini nini...aghhh
Kwa maoni yangu alipaswa kunipa taarifa then aniachie mimi nijiongeze.
Kwa kifupi nilimuona ni fyatu
Unataka kutoa bila kuombwa?Naomba tuongee chemba kidogo,tafadhali.
Wapo kwa mwamposa kukanyaga mafuta subiri watoke
Ili tubalance hii mada mimi nawashauri pia wanaume wajifunze kutoa hela bila kuombwa![]()
Umejuaje?Unataka kutoa bila kuombwa?
Kwahiyo na mimi utanipa tu bila kuomba kama dada zako? Na hautoomba si ndio?Umejuaje?
Mbona mie ndo zangu,nataka nikuweke kwenye kundi la wadogo zangu wa kike,huwa nawapa tu bila kuomba ili huko Chuo wasinyanyasike.
Nakusubiri Basi.
Roho yangu ipasuka..pwaaaa![]()
alaaa huku tayari nisheombwa Pesa yakuingia mwaka mpya




Nikamjibu wee bakia tu 2020 nikipata Pesa nitakupa ili'uingie mwaka mpyaUnatozwa ushuru kuuona mwaka!![]()
Kwahiyo na mimi utanipa tu bila kuomba kama dada zako? Na hautoomba si ndio?
Kuna manzi niliikwarua majuzi hapo, ile naiomba mtoko mwaka mpya ikanipa invoice za kusuka nywele... sijakaa sawa inasema birthday yake January 9.
Nimeamua kukaa kando hadi birthday ipite kwanza.![]()



unaogopa Rungu la utosi kudakiiiiiiDada yako huwa anakupa nini bila kuomba? Hebu nipe experience mkuu maana mimi sina kaka.Nawe itabidi utoe bila kuombwa!
Dada yako huwa anakupa nini bila kuomba? Hebu nipe experience mkuu maana mimi sina kaka.