Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,450
- 25,155
Hata kama kwa mtu mwenye mshipa wa aibu kuomba hiyo pesa kwa ajili ya kusuka tu ni ngumu.... Ungemwambia atumie yake then utamrudishia, Kuna watu wanadhani wenzao wapo kama atm mashine Muda wowote inatema pesa
Actually hiyo si kubwa ukiwa uko njema but...my concern is timing.
Day one unapata wapi ujasiri wa kujiachia hivyo?



