Wanawake tuache kuomba pesa 2021

Wanawake tuache kuomba pesa 2021

Yaani Hapa natafuta lugh nzuri na maneno mazuri..... Kuomba pesa siwezi Acha. Naweza nikachelewa kuanza kuomba lakini Naamini kupewa pesa Ni wajibu wa mwanaume kwangu
Mwanamke sharti alegezwe kwa noti za hapa na pale.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Cha ajabu mnalilia haki sawa.
Mkuu..Mimi simfuasi wa wahaki sawa..Mimi naamini mwanaume yupo juu yaangu..Wala Hilo sinampango wa kubishana nalo..

Mwanaume KWANGU Ni Kama mfalme hivi anadeserve kuwa treated as such
 
Tunamshukuru mungu kwa kumaliza mwaka na kuanza mwaka huu mpya. Ushaur wangu kwa wanawake tunauanza mwaka huu mpya naomb tuuanze kwa mabadiliko makubwa

Kwanza tuache kuomba pesa kwa wanaume , wanawake tuchape kazi tupambane kujitafutia rizik tujikwamue kweny dimbwi la umaskini na kutumika ovyo kisa pesa. Siku hizi tunatumia ovyo tumekuwa Kama public toilet kisa kuendekeza umaskini mtu akikupa hela kidogo umehamia na mimba unabeba mwisho unatelekezwa. Wanawake wenye shughuli zao wanajiamini pia wanamisimamo na wanaheshimika Sana. Tuache kujidhalilisha kisa pesa ,pesa zinatafutwa bwana

Tutafute pesa tuwapunguzie wababa mijengo majukumu tuwasupport jaman Hawa wababa Kuna wakati wanazidiwa mpak wakifike nyumban akun tabasamu kwa mastress ya familia. Tunyanyuke jamani kudanga ,kuchuna mwisho 2020
POINT
 
Back
Top Bottom