Wanawake tuache kuomba pesa 2021

Wanawake tuache kuomba pesa 2021

Wapo kwa mwamposa kukanyaga mafuta subiri watoke

Ili tubalance hii mada mimi nawashauri pia wanaume wajifunze kutoa hela bila kuombwa
Na wanawake mtuambie ni lini nanyi mtaanza kutupa hela
 
Uvumilivu,adabu/utii/heshima, staha, aibu na utu Ni nguzo muhimu Sana kwa mwanamke kumdhibiti mwanaume yeyote, ijapokuwa wapo wanaume wanaotumia vibaya wanawake wenye vitu hivyo kwa kuwadhalilisha na kuwanyanyasa ama kutowathamini kabisa

Wanaume wanaotafuta mwanamke mwenye vitu hivyo Basi hufanya kila mbinu mpaka ammiliki pasipo kujali hali ya mwanamke husika ama ni single mama, maskini ama hana shule
 
Wife matririo.
Siku zote nakukubali sana.
Lakini hujamzidi
Miss Reneee
 
Uvumilivu,adabu/utii/heshima, staha, aibu na utu Ni nguzo muhimu Sana kwa mwanamke kumdhibiti mwanaume yeyote, ijapokuwa wapo wanaume wanaotumia vibaya wanawake wenye vitu hivyo kwa kuwadhalilisha na kuwanyanyasa ama kutowathamini kabisa

Wanaume wanaotafuta mwanamke mwenye vitu hivyo Basi hufanya kila mbinu mpaka ammiliki pasipo kujali hali ya mwanamke husika ama ni single mama, maskini ama hana shule
Rafiki, mumeo kapata kitu bora.
 
Back
Top Bottom