Tunamshukuru mungu kwa kumaliza mwaka na kuanza mwaka huu mpya. Ushaur wangu kwa wanawake tunauanza mwaka huu mpya naomb tuuanze kwa mabadiliko makubwa
Kwanza tuache kuomba pesa kwa wanaume , wanawake tuchape kazi tupambane kujitafutia rizik tujikwamue kweny dimbwi la umaskini na kutumika ovyo kisa pesa. Siku hizi tunatumia ovyo tumekuwa Kama public toilet kisa kuendekeza umaskini mtu akikupa hela kidogo umehamia na mimba unabeba mwisho unatelekezwa. Wanawake wenye shughuli zao wanajiamini pia wanamisimamo na wanaheshimika Sana. Tuache kujidhalilisha kisa pesa ,pesa zinatafutwa bwana
Tutafute pesa tuwapunguzie wababa mijengo majukumu tuwasupport jaman Hawa wababa Kuna wakati wanazidiwa mpak wakifike nyumban akun tabasamu kwa mastress ya familia. Tunyanyuke jamani kudanga ,kuchuna mwisho 2020
Ha ha ha ha ,ujumbe konki sana huu japo naona ke wengi wakisonya kimyakimya huku wakishindwa kuchangia,,Tunamshukuru mungu kwa kumaliza mwaka na kuanza mwaka huu mpya. Ushaur wangu kwa wanawake tunauanza mwaka huu mpya naomb tuuanze kwa mabadiliko makubwa
Kwanza tuache kuomba pesa kwa wanaume , wanawake tuchape kazi tupambane kujitafutia rizik tujikwamue kweny dimbwi la umaskini na kutumika ovyo kisa pesa. Siku hizi tunatumia ovyo tumekuwa Kama public toilet kisa kuendekeza umaskini mtu akikupa hela kidogo umehamia na mimba unabeba mwisho unatelekezwa. Wanawake wenye shughuli zao wanajiamini pia wanamisimamo na wanaheshimika Sana. Tuache kujidhalilisha kisa pesa ,pesa zinatafutwa bwana
Tutafute pesa tuwapunguzie wababa mijengo majukumu tuwasupport jaman Hawa wababa Kuna wakati wanazidiwa mpak wakifike nyumban akun tabasamu kwa mastress ya familia. Tunyanyuke jamani kudanga ,kuchuna mwisho 2020
We chinkychinky naona unatafuta kurogwa na wenzako sasa, eti unahusia wenzako waache kudanga na kushika mimba zisizo na tija kisa tamaa ya kutaka kutunzwa kwa kulazimisha. Wenzako wameshaweka targets kuwa mwaka huu lazima wadange zaidi ili wapate mume wa kuwaweka mjini.Tunamshukuru mungu kwa kumaliza mwaka na kuanza mwaka huu mpya. Ushaur wangu kwa wanawake tunauanza mwaka huu mpya naomb tuuanze kwa mabadiliko makubwa
Kwanza tuache kuomba pesa kwa wanaume , wanawake tuchape kazi tupambane kujitafutia rizik tujikwamue kweny dimbwi la umaskini na kutumika ovyo kisa pesa. Siku hizi tunatumia ovyo tumekuwa Kama public toilet kisa kuendekeza umaskini mtu akikupa hela kidogo umehamia na mimba unabeba mwisho unatelekezwa. Wanawake wenye shughuli zao wanajiamini pia wanamisimamo na wanaheshimika Sana. Tuache kujidhalilisha kisa pesa ,pesa zinatafutwa bwana
Tutafute pesa tuwapunguzie wababa mijengo majukumu tuwasupport jaman Hawa wababa Kuna wakati wanazidiwa mpak wakifike nyumban akun tabasamu kwa mastress ya familia. Tunyanyuke jamani kudanga ,kuchuna mwisho 2020
Na wewe ulimuendekeza tu huyo kialaza wa karne, pale pale alipoanza kukulilia kuwa ana birthday inakuja in two days, ungemwambia sawa tuendelee kula kwanza. Bada ya mlo ungeenda chooni na kutokomea huko huko bila kurudi pale mezani ili alipe yeye lile deni....wanawake wa namna hii ni kuwashikisha adabu tu. Anakulilia umpe nusu milioni kwa ajili ya birthday kwani wewe ndiye uliyemzaa?Tunatoa sana, kuna wanawake wanatia aibu sana.
Kuna binti tulitoka out ikiwa ni mara ya kwanza kuonana ana kwa ana.
Tulipata chakula cha jioni/usiku pamoja sehemu tulivu na bora kabisa.
Tukiwa tunapiga stori za hapa na pale akaanza:
1. Baby baada ya siku mbili ni birthday yangu
Anaomba 200k nikasuke
2. Halafu sina kiatu kizuri.
3. Naomba zawadi isiyopungua 300k
4. Sijui nini nini nini...aghhh
Kwa maoni yangu alipaswa kunipa taarifa then aniachie mimi nijiongeze.
Kwa kifupi nilimuona ni fyatu
Day one ujue mkuuNa wewe ulimuendekeza tu huyo kialaza wa karne, pale pale alipoanza kukulilia kuwa ana birthday inakuja in two days, ungemwambia sawa tuendelee kula kwanza. Bada ya mlo ungeenda chooni na kutokomea huko huko bila kurudi pale mezani ili alipe yeye lile deni....wanawake wa namna hii ni kuwashikisha adabu tu. Anakulilia umpe nusu milioni kwa ajili ya birthday kwani wewe ndiye uliyemzaa?
Mfalme Mswati bwana, hivi hujuwi kuwa nyota njema huonekana alfajiri, si unaona hata yeye demu hajachukua muda kwako ilibidi tu akupige mzinga pale pale Mgahawani kwani alishaona fursa ya kuchuna mwanamme. HAKUNA mwanamke kilaza anayeomba mizinga bila kuwa na sababu maalum. Huyo demu alishaona kapata fursa ya kukupiga mizinga ili atunze mumewe wa kitaa ama kusaidia nduguze huko kwao kijijini. Ku..ma gani ya changudoa is worth laki tano kama si ujinga huu?Day one ujue mkuu
Alikosea sana kwani hakujua timingMfalme Mswati bwana, hivi hujuwi kuwa nyota njema huonekana alfajiri, si unaona hata yeye demu hajachukua muda kwako ilibidi tu akupige mzinga pale pale Mgahawani kwani alishaona fursa ya kuchuna mwanamme. HAKUNA mwanamke kilaza anayeomba mizinga bila kuwa na sababu maalum. Huyo demu alishaona kapata fursa ya kukupiga mizinga ili atunze mumewe wa kitaa ama kusaidia nduguze huko kwao kijijini. Ku..ma gani ya changudoa is worth laki tano kama si ujinga huu?
Wanawake sijuwi wana akili gani jamani....siwaelewi kwanini wanawaza kupata mwanamme ili tu wamchune na kuwa mzigo kwao? Wanawake mnaboa sana jamani, jirekebisheni kwa kweli.Tunamshukuru mungu kwa kumaliza mwaka na kuanza mwaka huu mpya. Ushaur wangu kwa wanawake tunauanza mwaka huu mpya naomb tuuanze kwa mabadiliko makubwa
Kwanza tuache kuomba pesa kwa wanaume , wanawake tuchape kazi tupambane kujitafutia rizik tujikwamue kweny dimbwi la umaskini na kutumika ovyo kisa pesa. Siku hizi tunatumia ovyo tumekuwa Kama public toilet kisa kuendekeza umaskini mtu akikupa hela kidogo umehamia na mimba unabeba mwisho unatelekezwa. Wanawake wenye shughuli zao wanajiamini pia wanamisimamo na wanaheshimika Sana. Tuache kujidhalilisha kisa pesa ,pesa zinatafutwa bwana
Tutafute pesa tuwapunguzie wababa mijengo majukumu tuwasupport jaman Hawa wababa Kuna wakati wanazidiwa mpak wakifike nyumban akun tabasamu kwa mastress ya familia. Tunyanyuke jamani kudanga ,kuchuna mwisho 2020
Mwanamke hawezi kuacha kuomba pesa kwa mwanaume hata iweje. Sema unachotakiwa kuwakumbusha ni kuwa waache tamaa za vitu visivyo vya lazima.Tunamshukuru mungu kwa kumaliza mwaka na kuanza mwaka huu mpya. Ushaur wangu kwa wanawake tunauanza mwaka huu mpya naomb tuuanze kwa mabadiliko makubwa
Kwanza tuache kuomba pesa kwa wanaume , wanawake tuchape kazi tupambane kujitafutia rizik tujikwamue kweny dimbwi la umaskini na kutumika ovyo kisa pesa. Siku hizi tunatumia ovyo tumekuwa Kama public toilet kisa kuendekeza umaskini mtu akikupa hela kidogo umehamia na mimba unabeba mwisho unatelekezwa. Wanawake wenye shughuli zao wanajiamini pia wanamisimamo na wanaheshimika Sana. Tuache kujidhalilisha kisa pesa ,pesa zinatafutwa bwana
Tutafute pesa tuwapunguzie wababa mijengo majukumu tuwasupport jaman Hawa wababa Kuna wakati wanazidiwa mpak wakifike nyumban akun tabasamu kwa mastress ya familia. Tunyanyuke jamani kudanga ,kuchuna mwisho 2020
Wapo kwa mwamposa kukanyaga mafuta subiri watoke
Ili tubalance hii mada mimi nawashauri pia wanaume wajifunze kutoa hela bila kuombwa![]()
Tunatoa sana, kuna wanawake wanatia aibu sana.
Kuna binti tulitoka out ikiwa ni mara ya kwanza kuonana ana kwa ana.
Tulipata chakula cha jioni/usiku pamoja sehemu tulivu na bora kabisa.
Tukiwa tunapiga stori za hapa na pale akaanza:
1. Baby baada ya siku mbili ni birthday yangu
Anaomba 200k nikasuke
2. Halafu sina kiatu kizuri.
3. Naomba zawadi isiyopungua 300k
4. Sijui nini nini nini...aghhh
Kwa maoni yangu alipaswa kunipa taarifa then aniachie mimi nijiongeze.
Kwa kifupi nilimuona ni fyatu
Vizuri
Wanawake hawana aibu hata kdogo sku hz,mi kuepusha mizinga nmeamua kununua tu pale ninapohitaji ila hawa waktaa nawaangalia tu kama siwaoni
Actually hiyo si kubwa ukiwa uko njema but...my concern is timing.Laki mbili akasukeeee??? Haya mazombie mnayapataga wapi