Wanawake tuache kuendekeza 'Marioo'

Wanawake tuache kuendekeza 'Marioo'

Kila jambo lina mbadala yani opposite side, sasa kama nyie mnatega kuchuna vibabu mlelewe kwanini na sie wakula vyenu na Free Poombu tusiwepo?

Translation; Ukitaka kula lazma na wewe uliwe tu,sasa we unataka ule tu peke ake? Haiwezekaniii!!!!!!!!
 
Hivi kwa nini wanaume tegemezi kwa jina lingine mario wanapenda sana kulelewa? Halafu sasa kwa kuwa wanajua kabisa hapa ni kupiga kitonga wanakuwaga wajuzi kweli ya ku**mba au lugha nyingine wanajua sana mapenzi kwenye 6x6.

Upande wangu hii tabia siipendi kwa kweli. Yani nianze tu kumpa baby wangu pesa nop raha ya mwanaume akupe, akutunze. Kama wewe mwanamke una hio tabia acha.

Yani kama mlikuwa hamjui, hapo atakutumia weee ukiwa hauna humuoni, atakukimbia kama gari la mwendo kasi.

Nothing confuses a woman more than a broke man who is good in bed....hahahaha. uncle mugabe was roght i guess
 
Kwasababu Barioo ni shida kuwapata ndiyo maana Marioo wana soko.
 
Si mnapenda kukojozwa mkome,

Acha sisi wazee tuwe watazamaji!
Wanapenda kukojozwa utakuta mdada analalamika huko instagram kuhusu bwana wake sasa cku ampate Kijana tena anawesa akawa sio mariioo na anamkojozaa vizur na hela atatoa
 
Hivi kwa nini wanaume tegemezi kwa jina lingine mario wanapenda sana kulelewa? Halafu sasa kwa kuwa wanajua kabisa hapa ni kupiga kitonga wanakuwaga wajuzi kweli ya ku**mba au lugha nyingine wanajua sana mapenzi kwenye 6x6.

Upande wangu hii tabia siipendi kwa kweli. Yani nianze tu kumpa baby wangu pesa nop raha ya mwanaume akupe, akutunze. Kama wewe mwanamke una hio tabia acha.

Yani kama mlikuwa hamjui, hapo atakutumia weee ukiwa hauna humuoni, atakukimbia kama gari la mwendo kasi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom