MNhhhh kila mtu aplay part yake, correct,sio jukumu la mwanamke pekee kutii ama kuwa na heshima kwenye uhusiano...
Mahusiano ambayo mwanamke pekee ndio mwenye heshima na utii..hayako healthy..sisi binadamu ni nature kuexchange vitu katika uhusiano, you give respect and you will be given respect...mambo ya kuwa wewe ndio una give tu ...haziko hivyo my dear...
ningependa uelezee jinsi ya kumaliza mambo kiheshima...ila kama mwanamke ndio anatakiwa amalize kiheshima..usinijibu LOL