π π π ijitahidi tu ifunguke.Hizi clip mbona huwa hazifunguki kwa simu yangu...Au laana ya umasikini imefika Hadi kwa Tecno yangu...Dooooh!
I can't even waste my time and data to open that video. Men always like women who say things that support their primitive characters. Yani ukiwavumilia / kuwa support automatically you are a good woman. Most women want men's acceptance so bad they tolerate anything!NONSENSE!
I've never been married but Kuna Mambo nlifanya yamenicost Sana. Huku kutaka mashindano,kukosa adabu, kuwa na kiburi, kusema hata Mimi na hela I don't need a man Sio Kweli.NONSENSE!
I've never been married but Kuna Mambo nlifanya yamenicost Sana. Huku kutaka mashindano,kukosa adabu, kuwa na kiburi, kusema hata Mimi na hela I don't need a man Sio Kweli.
A women needs a man just as much as a man needs a women.
Tuwaheshimu kuwajali na kuwatii wanaume...They are precious to us.I love the feeling of having a supportive and loving man besides me.
Kuwa na heshima na utii kwa mwanaume kutakufanya uishi maisha mazuri na yafuraha... trust me.
Pole sana mkuu maan mimi piah natumia Tecno Bf1 lakini inafungukaHizi clip mbona huwa hazifunguki kwa simu yangu...Au laana ya umasikini imefika Hadi kwa Tecno yangu...Dooooh!
ππππ haki tena sikutegemea kuona message kama hii kutoka kwako.ππI've never been married but Kuna Mambo nlifanya yamenicost Sana. Huku kutaka mashindano,kukosa adabu, kuwa na kiburi, kusema hata Mimi na hela I don't need a man Sio Kweli.
A women needs a man just as much as a man needs a women.
Tuwaheshimu kuwajali na kuwatii wanaume...They are precious to us.I love the feeling of having a supportive and loving man beside me.
Kuwa na heshima na utii kwa mwanaume kutakufanya uishi maisha mazuri na yafuraha... trust me.
Kumtii mume haimaanishi Akuwekee kidole jichoni Wewe uchekelee..Mnhh mwenzako anaona jukumu la kuwa na familia yenye peace and harmony ni la MWANAMKE na kukitokea kitu kidogo yeye ndio alaumiwe na kuwa punished,NO!! ..ni responsibility yetu SOTE ku create a happy home......
Sijui nini kimeku cost (share if you dont mind) mpaka ukaona wa kuheshimiwa ni wanaume,na kwamba ukimtii mwanaume ndio unakuwa na furaha, trust me you have never experience love and to be loved, kama uko real, kutakua na msuguano na partner wako sometimes, nyinyi sio ndugu, mmekutana watu wazima, kuwa na migongano ni kawaida,,,,,na kuwa na migongano haimaanishi wewe una kiburi,
,,haya mama kuwa submissive wife ni chaguo lako,ila ningependa kukukumbusha you also need to be HEARD, SUPPORTED AND CARED FOR... dont die in a relationship that is emotionally draining..i mean ukichukia,chukia na umemuonyeshe mume wako umechukia,kunyamaza ili kuonekana ukiongea ni mwenye kiburi..ni kujitesa kisaikolojia na pia kama umepata mume abuser most wanatafutaga reason yoyote kukupiga hata kama umeongeza chumvi kidogo...
Duuuh....Basi Tena kutakua na Mkono wa MSHANA JR.Pole sana mkuu maan mimi piah natumia Tecno Bf1 lakini inafunguka
ππππ haki tena sikutegemea kuona message kama hii kutoka kwako.ππ
Ukweli utabaki kuwa mwanamke hawezi kuwa sawa na mwanaume.teknologia na mkutano wa Beijing umekuja kuondoa adabu na utii kwenye kundi kubwa la wanawake wakiamini kwamba adabu na utii kwa mwanaume ni utumwa.
Jamani wanawake tuwaheshimu wanaume hakuna mbadala.
Wapo vichwa banju watachukulia kama huyo dada kaongea kichina hapo π !!! Thats the naked truth ChakoriiHuyo madam kaongea ukweli π―.lakini na kuongea kote huko na mifano hai kuna wengine pia hatutoelewa.mkutano wa Beijing bado unaendelea kushika hatamu vichwani mwetu.π’π’
Mkuuu..unafikiria kila Sanaa Nawaza kuliwa kimasiharahaki tena sikutegemea kuona message kama hii kutoka kwako.
Ukweli utabaki kuwa mwanamke hawezi kuwa sawa na mwanaume.teknologia na mkutano wa Beijing umekuja kuondoa adabu na utii kwenye kundi kubwa la wanawake wakiamini kwamba adabu na utii kwa mwanaume ni utumwa.
Jamani wanawake tuwaheshimu wanaume hakuna mbadala.
We ni Msukule wa haki sawa/ joyce kiriaI can't even waste my time and data to open that video. Men always like women who say things that support their primitive characters. Yani ukiwavumilia / kuwa support automatically you are a good woman. Most women want men's acceptance so bad they tolerate anything!