Na nyie mkome kushika simu zetu na kusoma mambo ya kike yasiyo wahusu.
Mimi nafuatilia hadi msg za Tigo.
Mmekaa sitting room mnaangalia taarifa ya habari, simu ya mr inaita, anaamka anachukua simu, ameamua kuongelea chumbani. Baada ya maongezi anarudi anakukuta mwanamke umeumuka kama umetiwa hamira, aliyepiga simu ni nani?
Kama ungetakiwa kumjua au kujua wanayoongea asingeenda chumbani, yeye ni mtu mzima anahitaji privacy yake. Kama anataka kukopa hela je?
Mimi ninaamini kama katika wote amenichagua mimi, hata akitoka wala sina wasiwasi ninajua atarudi. Simu ikipigwa ninampelekea kama yuko mbali, hata kama caller’s name ni Joyce siulizi kwani mwenye pete ya ndoa ni mimi.
Uache kulala usingizi wako mzuri unamsubiri mtu ambae yuko kwenye bata lake huko au ndiyo anashughulikia ada za watoto. Mradi tu awe na adabu ya kunijulisha kuwa atachelewa.
daah dogo we ni kichaaa aseeThat's what we do!!
Ndio mana hata Asprin anavyoweka wazi ule mchepuko wake wa kudumu hata mshipa wa tako haukuchezi sababu unajua you are the chosen one
Si umesema mambo ya kufuatiliana ni ya kishamba?Mimi ntakufuatilia paka mwisho as long nmekuoa
HahahahaHakuna kugusana...... Kila mtu upande wake na sikulala nilikaa kitako usiku kucha
Hahahaha
Si umesema mambo ya kufuatiliana ni ya kishamba?
yaani napitia comments zako kusoma nacheka we una wivu mno 😀😀😀😀Hahahahahhaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na vile napenda kununa
Wanaume mupo na mambo ya kikatili sana.Mimi nimekuoa wewe lazima nkufatilie
we mtoto where are u ? i want to give ya a biiiiiiiiiiiig hug and a looooonnnggg Kiss.Mmekaa sitting room mnaangalia taarifa ya habari, simu ya mr inaita, anaamka anachukua simu, ameamua kuongelea chumbani. Baada ya maongezi anarudi anakukuta mwanamke umeumuka kama umetiwa hamira, aliyepiga simu ni nani?
Kama ungetakiwa kumjua au kujua wanayoongea asingeenda chumbani, yeye ni mtu mzima anahitaji privacy yake. Kama anataka kukopa hela je?
Mimi ninaamini kama katika wote amenichagua mimi, hata akitoka wala sina wasiwasi ninajua atarudi. Simu ikipigwa ninampelekea kama yuko mbali, hata kama caller’s name ni Joyce siulizi kwani mwenye pete ya ndoa ni mimi.
Uache kulala usingizi wako mzuri unamsubiri mtu ambae yuko kwenye bata lake huko au ndiyo anashughulikia ada za watoto. Mradi tu awe na adabu ya kunijulisha kuwa atachelewa.
Wanaume mupo na mambo ya kikatili sana.
Wanaume wasiojua kufunga zipu wameufurahia huu uzi mpaka sio vizuri
SawaWanawake bila ubabe hawaendi.
Basi na wewe nijibu hili swali kwahiyo wanaume mnafanya makosa kwa makusudi mkitegemea kwamba wake zenu watawaheshimu na kuwavumilia si ndiyo? Ndo heshima mnayoitaka hiyo? Mbona nimeuliza hili swali mara kibao ila hadi sasa hamna mwanaume anayejibu hili mnazunguka jibuni hili basi labda mimi ndo siwaelewi
hakunaga kitu ka hioKumbe kurespect mtu ni kumuacha achepuke kwa uhuru....sikujua aisee
Muwe mnapeleka posa basi muoe mtaupata huo ukatiliWanaume mupo na mambo ya kikatili sana.
Yaaap,nakubaliana na wewe, unajikuta una self discipline tu, ze more unavyombana mtu ndio ze more anavyotafuta mbinu mpya.Nilikua nasoma kama guest ila hapa nimelazimika ku log in.....
Kama wanawake wote wangekua na mtazamo kama huu wallah dunia ingekua mahala salama sana pa kuishi.Halafu msichokijua nyie mkiacha kufuatilia fuatilia huwa tunaingia wenge flani,kuna hali mtu anajjistukia.
Aisee,kuna watu wana bahati sana
Hujui kwamba sisi ni wadhaifu. Na pia tunataman??? Mnatakiwa mvumilie na muache kufatilia fatilia mtakufa siku kabla ya zenuBasi na wewe nijibu hili swali kwahiyo wanaume mnafanya makosa kwa makusudi mkitegemea kwamba wake zenu watawaheshimu na kuwavumilia si ndiyo? Ndo heshima mnayoitaka hiyo? Mbona nimeuliza hili swali mara kibao ila hadi sasa hamna mwanaume anayejibu hili mnazunguka jibuni hili basi labda mimi ndo siwaelewi