Wanawake si watu wakuaminika. Najuta

Wanawake si watu wakuaminika. Najuta

Nakili mkuu nilifanya kosa natambua lakin kwa Hik alichokifanya hyu mwanamke na delete kichwan kwako naamn pesa hzo atazitumia na zitaisha!
Yaani mwanamke unamtumia pesa ya matumizi hadi ya mtaji lakini ukimtafuta hapokei?? Jamaa alishakukamata alikuaminisha yule ni mtoto wako na Roho yako haitokaa ikubali mpka uthibitishe kuwa siye. Na atakutesa sana. Kwamba mtoto ni wako au si wako ni 50/50. Anakujua weakness zako. Na utaendelea kumtafuta sana tu.
 
Jamaa kashapigwa
Kulea damu yako ni wajibu!
Siyo kutoa pesa tu, na kuonekana kwenye matukio muhimu, 40 mtoto kupewa jina au ubatizo, ugonjwa n.k

Huyu jamaa hata mimba yenyewe hakuiona ikikua aliambiwa tu, akamsafirisha kijijini!
Mtoto kazaliwa ana miaka miwili sasa hajawahi kumuona..
Anatuma tu hela. Hela za mitaji na biashara!

Halafu alichokosea ni kuomba pesa yawezekana kiwango kikubwa sana, ndiyo maana demu kashtuka kaona jamaa isije ikawa anasepa..

Everyday is Saturday.......................... 😎
a
 
Za masiku Mkuu?
Mwanaume Mjinga ndio hamuamini Mwanamke kwa sababu ya kutojitambua kwake.

Mwanaume mwenye akili anamuamini mwanamke kwa sababu anawajua wanawake wapoje.

Huwezi kuamini mtu usiyemtambua vyema, hata hivyo huwezi pia muamini mtu unayejidanganya unamjua.

Wewe ndiye mpuuzi, mwanamke anapewa pesa ya kujikimu sio pesa ya biashara, Mke wako wa ndoa ndio unaweza mpa hiyo mipesa kwani unajua ni Mke wako na Mama ya watoto wako.

mtu hujamuoa, hujazaa naye alafu unampa pesa za biashara huenda ukitegemea utamuoa. Wewe kama sio Mbuzi ni Kondoo.

Mwanaume haishi kwa kutegemea jambo Fulani kwa mwanamke, anaishi kwa kukichukua au kukitafuta jambo hilo.

Wanawake ndio hutegemea Wanaume na ndio huunda kuamini.
 
Kosa ni lako wala sio la huyo dada, mwenzio aliona fursa akanona aitumie, yani wewe toka ajifungue hujawahi kanyaga kwenda kuona mtoto wako? kabisa? unasingizia nature ya kazi, unataka kuniambia unafaya kazi miezi 12 bila mapumziko, huendagi hata kusalimia wazazi wako au jamaa zako wengine? wewe ni kazi tuuu day ana night siku 365? hapana aisee, acha tu uliwe mana ndo malipo pekee unayostahili
 
Sijawahi kumuona kulingana na nature ya kazi yangu mda mwingi ninakuwa nipo bse siwez hata kusafri kwenda kumuona huko kijijin
Hiyo nature ya kazi ndo mana wenzako wamekuchapia na nawe kulea mtoto na umemtumia baba wa mtoto mtaji sasa wanajivichali na kababy. Kama Ni kweli mtoto wako kazi gani isiyotambua mtoto, we hufai kuitwa baba. Hufai kuwa katika chama chetu ( Chama Cha Wababa Tanzania)
 
Wakuu naleta huu Uzi si kwamba kutaka nionekane vp ila nataka tujifunze kitu!

Ilikuwa mwaka 2017 nilikutana dada mmoja jina nalihifadhi nilianzisha uhusiano naye kwa kipindi Cha miez kadhaa na baada ya hapo aliniambia anaujauzito wangu .na mm kwa kuwa nilikula nikilala naye sikuweza kumkatalia kwamba mimba siyo yangu!

Baada ya hapo dada wawatu aliondoka nakuniambia anaekea kwa mama yake maana huku alikuja kikazi tu na kweli nilimruhusu alienda baada ya miez Tisa dada wawatu alijifungua mtoto wa kiume lakin wakat wa ujauzito wake wote nilikua nikihudumia Sasa ni miaka Sasa imepita

Kuna siku aliniambia nimpe mtaji ili awe anajikimu na yy bila kunitegemea mm nilikubali na nilimpa mtaji! Kwa kuwa ilikuwa kipindi Cha masika nilimpa wazo la kulima na kweli alilima na kupata kipato kikubwa tu.

Ilipofka mwez wa Tisa mwaka Jana aliniambia tuwe tunakopesha watu fedha na mm nilikubali na nilimpa mtaji kulingana na nafas yangu
Mwez wa Kwanza ulipofika wakat wakurejesha nilimwambia hyo pesa achukue tu ili aongezee kwenye biashara yake.

Pia ilipofika mwezi wa tatu Nika wambia kwa kuwa ameshakuza mtaji wake kwa pesa zakukopesha hvyo naomba anipatie pesa kias ili nifanyie Mambo yangu alikubali lakin Cha kushangaza ilipofika siku aliyoniambia kwamba atanipatia hyo fedha nilipiga simu soiku ya Kwanza bila mafanikio mwishowe nikafikir labda simu kapoteza lakin baadaye nikajiongeza nikachukua simu ya mtu mwingne nikapiga simu yake dah nilishangaa anapokea simu Tena kwa saut haloholohaloooo!

Kesho yake ilipofika Napo nilipiga simu yake kwa kutumia simu yangu hakupokea

......Sasa Hadi leo hi hapokei simu yangu napata waswas hata hyo mimba sizan Kama ilikuwa yangu maana mwanamke hyu kashakuwa shanganga .. Nimejifunza kitu Kuna baadhi ya wanawake akili zao nizakuona tu kwa macho ngoja nimalizie usingiz wangu!

Nimejifunza.
Haloooo ww ni mzembe aisee umepigwa kang'a kang'a kang'a
 
Umepigwa Tu
Hukuamua Kujikita Kujua Ukweli
Hata Mtoto Utakuta Ni Wa Mtu Mwingine Wewe Mwenyewe Unatoa Pesa Tu
 
Wew ni wa kupelekwa sungusungu ogalangwe!kila siku watu wanasema mwanamke sio wew unajifanya unajua caring!baby baby zenu vijana zitawaua ohooo#obheja
 
Sijawahi kumuona kulingana na nature ya kazi yangu mda mwingi ninakuwa nipo bse siwez hata kusafri kwenda kumuona huko kijijin

Aisee. Kaka, mahusiano yatakupa shida sana. Umezidi upole yaani sikutusi ila umekuwa Zoba
 
Wakuu naleta huu Uzi si kwamba kutaka nionekane vipi ila nataka tujifunze kitu!

Ilikuwa mwaka 2017 nilikutana dada mmoja jina nalihifadhi nilianzisha uhusiano naye kwa kipindi cha miezi kadhaa na baada ya hapo aliniambia anaujauzito wangu na mimi kwa kuwa nilikula nikilala naye sikuweza kumkatalia kwamba mimba siyo yangu!

Baada ya hapo dada wawatu aliondoka nakuniambia anaelekea kwa mama yake maana huku alikuja kikazi tu na kweli nilimruhusu alienda baada ya miezi tisa dada wawatu alijifungua mtoto wa kiume lakini wakati wa ujauzito wake wote nilikua nikihudumia sasa ni miaka Sasa imepita

Kuna siku aliniambia nimpe mtaji ili awe anajikimu na yy bila kunitegemea mm nilikubali na nilimpa mtaji! Kwa kuwa ilikuwa kipindi Cha masika nilimpa wazo la kulima na kweli alilima na kupata kipato kikubwa tu.

Ilipofka mwezi wa Tisa mwaka Jana aliniambia tuwe tunakopesha watu fedha na mm nilikubali na nilimpa mtaji kulingana na nafas yangu

Mwez wa Kwanza ulipofika wakat wakurejesha nilimwambia hyo pesa achukue tu ili aongezee kwenye biashara yake.

Pia ilipofika mwezi wa tatu Nika wambia kwa kuwa ameshakuza mtaji wake kwa pesa zakukopesha hvyo naomba anipatie pesa kias ili nifanyie Mambo yangu alikubali lakin Cha kushangaza ilipofika siku aliyoniambia kwamba atanipatia hyo fedha nilipiga simu soiku ya Kwanza bila mafanikio mwishowe nikafikir labda simu kapoteza lakin baadaye nikajiongeza nikachukua simu ya mtu mwingne nikapiga simu yake dah nilishangaa anapokea simu Tena kwa saut haloholohaloooo!

Kesho yake ilipofika napo nilipiga simu yake kwa kutumia simu yangu hakupokea

Sasa Hadi leo hi hapokei simu yangu napata waswas hata hyo mimba sizan Kama ilikuwa yangu maana mwanamke hyu kashakuwa shanganga. Nimejifunza kitu Kuna baadhi ya wanawake akili zao nizakuona tu kwa macho ngoja nimalizie usingiz wangu!

Nimejifunza.
hana vidada vyake vizuri vizuri kwani""" au rafiki zake hana wapeleleze uwajue wawe karibu na wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom