Wanawake si watu wakuaminika. Najuta

Wanawake si watu wakuaminika. Najuta

Mwanaume Mjinga ndio hamuamini Mwanamke kwa sababu ya kutojitambua kwake.

Mwanaume mwenye akili anamuamini mwanamke kwa sababu anawajua wanawake wapoje.

Huwezi kuamini mtu usiyemtambua vyema, hata hivyo huwezi pia muamini mtu unayejidanganya unamjua.

Wewe ndiye mpuuzi, mwanamke anapewa pesa ya kujikimu sio pesa ya biashara, Mke wako wa ndoa ndio unaweza mpa hiyo mipesa kwani unajua ni Mke wako na Mama ya watoto wako.

mtu hujamuoa, hujazaa naye alafu unampa pesa za biashara huenda ukitegemea utamuoa. Wewe kama sio Mbuzi ni Kondoo.

Mwanaume haishi kwa kutegemea jambo Fulani kwa mwanamke, anaishi kwa kukichukua au kukitafuta jambo hilo.

Wanawake ndio hutegemea Wanaume na ndio huunda kuamini.
 
Jamaa akubali tu alichepuka na beki 3, angekuwa hana mke angekuwa kishaenda huko kijijini kuwaona au kishamrudisha mjini fasta, wapambane na hali..bila kujali necha ya kazi.

Aliamini anaweza kummeneji vizuri akiwa huko kijijini, kumbe beki3 naye za kwake kachanganya na za kuambiwa.. 😀
Kaona akimtumia hiyo hela, ndiyo basi tena.

Everyday is Saturday.........................😎
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wala mm nipo single mkuu Sema sikutaka tu kuwahi kumuleta mjini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa unajuaje kama kweli ana mtoto ambae ni wa kwako na hujawai kumuona huyo mtoto? Umepigwa za macho.
Sijawahi kumuona kulingana na nature ya kazi yangu mda mwingi ninakuwa nipo bse siwez hata kusafri kwenda kumuona huko kijijin
 
Pole mkuu

Lakini

Watu wengi huwa tunachanganya vitu

Sidhani kama hapo tatizo ni UANAMKE wa huyo demu wako

Sema BINADAMU sio watu wa kuwaamini
Wakuu naleta huu Uzi si kwamba kutaka nionekane vp ila nataka tujifunze kitu!
Ilikuwa mwaka 2017 nilikutana dada mmoja jina nalihifadhi nilianzisha uhusiano naye kwa kipindi Cha miez kadhaa na baada ya hapo aliniambia anaujauzito wangu .na mm kwa kuwa nilikula nikilala naye sikuweza kumkatalia kwamba mimba siyo yangu!
Baada ya hapo dada wawatu aliondoka nakuniambia anaekea kwa mama yake maana huku alikuja kikazi tu na kweli nilimruhusu alienda baada ya miez Tisa dada wawatu alijifungua mtoto wa kiume lakin wakat wa ujauzito wake wote nilikua nikihudumia Sasa ni miaka Sasa imepita
Kuna siku aliniambia nimpe mtaji ili awe anajikimu na yy bila kunitegemea mm nilikubali na nilimpa mtaji! Kwa kuwa ilikuwa kipindi Cha masika nilimpa wazo la kulima na kweli alilima na kupata kipato kikubwa tu.
Ilipofka mwez wa Tisa mwaka Jana aliniambia tuwe tunakopesha watu fedha na mm nilikubali na nilimpa mtaji kulingana na nafas yangu
Mwez wa Kwanza ulipofika wakat wakurejesha nilimwambia hyo pesa achukue tu ili aongezee kwenye biashara yake.
Pia ilipofika mwezi wa tatu Nika wambia kwa kuwa ameshakuza mtaji wake kwa pesa zakukopesha hvyo naomba anipatie pesa kias ili nifanyie Mambo yangu alikubali lakin Cha kushangaza ilipofika siku aliyoniambia kwamba atanipatia hyo fedha nilipiga simu soiku ya Kwanza bila mafanikio mwishowe nikafikir labda simu kapoteza lakin baadaye nikajiongeza nikachukua simu ya mtu mwingne nikapiga simu yake dah nilishangaa anapokea simu Tena kwa saut haloholohaloooo!
Kesho yake ilipofika Napo nilipiga simu yake kwa kutumia simu yangu hakupokea
......Sasa Hadi leo hi hapokei simu yangu napata waswas hata hyo mimba sizan Kama ilikuwa yangu maana mwanamke hyu kashakuwa shanganga .. Nimejifunza kitu Kuna baadhi ya wanawake akili zao nizakuona tu kwa macho ngoja nimalizie usingiz wangu!
Nimejifunza.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wala mm nipo single mkuu Sema sikutaka tu kuwahi kumuleta mjini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu sisi watu wazima tokea 2017?? Tushasoma mchezo.. 😀 😀 😀
Hela ya kumpa mtaji unayo hela ya kumrudisha mjini huna...

Ulifikiri wa kijijini unammeneji si ajabu yupo town anakuangalia tu😀😀

Cha ajabu hata mawasiliano na mamake huna??

Everyday is Saturday.........................😎
 
Mkuu James Nkwabi, una uzi uliuleta karibuni, una uhusiano lolote na hili??

Ule uzi ulikuwa na title na huu nao ni aina ya utapeli, mtu unamuazima hela anagoma kurudisha......

Everyday is Saturday..................... 😎
 
Hapana huu ni tofauti na ule ule ulinitokea mm huu kanipiga hyo nyani za uso!
 
Wakuu naleta huu Uzi si kwamba kutaka nionekane vp ila nataka tujifunze kitu!
Ilikuwa mwaka 2017 nilikutana dada mmoja jina nalihifadhi nilianzisha uhusiano naye kwa kipindi Cha miez kadhaa na baada ya hapo aliniambia anaujauzito wangu .na mm kwa kuwa nilikula nikilala naye sikuweza kumkatalia kwamba mimba siyo yangu!
Baada ya hapo dada wawatu aliondoka nakuniambia anaekea kwa mama yake maana huku alikuja kikazi tu na kweli nilimruhusu alienda baada ya miez Tisa dada wawatu alijifungua mtoto wa kiume lakin wakat wa ujauzito wake wote nilikua nikihudumia Sasa ni miaka Sasa imepita
Kuna siku aliniambia nimpe mtaji ili awe anajikimu na yy bila kunitegemea mm nilikubali na nilimpa mtaji! Kwa kuwa ilikuwa kipindi Cha masika nilimpa wazo la kulima na kweli alilima na kupata kipato kikubwa tu.
Ilipofka mwez wa Tisa mwaka Jana aliniambia tuwe tunakopesha watu fedha na mm nilikubali na nilimpa mtaji kulingana na nafas yangu
Mwez wa Kwanza ulipofika wakat wakurejesha nilimwambia hyo pesa achukue tu ili aongezee kwenye biashara yake.
Pia ilipofika mwezi wa tatu Nika wambia kwa kuwa ameshakuza mtaji wake kwa pesa zakukopesha hvyo naomba anipatie pesa kias ili nifanyie Mambo yangu alikubali lakin Cha kushangaza ilipofika siku aliyoniambia kwamba atanipatia hyo fedha nilipiga simu soiku ya Kwanza bila mafanikio mwishowe nikafikir labda simu kapoteza lakin baadaye nikajiongeza nikachukua simu ya mtu mwingne nikapiga simu yake dah nilishangaa anapokea simu Tena kwa saut haloholohaloooo!
Kesho yake ilipofika Napo nilipiga simu yake kwa kutumia simu yangu hakupokea
......Sasa Hadi leo hi hapokei simu yangu napata waswas hata hyo mimba sizan Kama ilikuwa yangu maana mwanamke hyu kashakuwa shanganga .. Nimejifunza kitu Kuna baadhi ya wanawake akili zao nizakuona tu kwa macho ngoja nimalizie usingiz wangu!
Nimejifunza.
Wewe ni zezeta
 
Jamaa akubali tu alichepuka na beki 3, angekuwa hana mke angekuwa kishaenda huko kijijini kuwaona au kishamrudisha mjini fasta, wapambane na hali..bila kujali necha ya kazi.

Aliamini anaweza kummeneji vizuri akiwa huko kijijini, kumbe beki3 naye za kwake kachanganya na za kuambiwa.. 😀
Kaona akimtumia hiyo hela, ndiyo basi tena.

Everyday is Saturday.........................😎
Nilijiapiza kama nikizaa mtoto nje ya ndoa nitamtunza kama mtoto wangu wa ndani ya ndoa yaani atapata haki zote. namwomba Mungu nisizae nje ya ndoa though
 
Kulea damu yako ni wajibu!
Siyo kutoa pesa tu, na kuonekana kwenye matukio muhimu, 40 mtoto kupewa jina au ubatizo, ugonjwa n.k

Huyu jamaa hata mimba yenyewe hakuiona ikikua aliambiwa tu, akamsafirisha kijijini!
Mtoto kazaliwa ana miaka miwili sasa hajawahi kumuona..
Anatuma tu hela. Hela za mitaji na biashara!

Halafu alichokosea ni kuomba pesa yawezekana kiwango kikubwa sana, ndiyo maana demu kashtuka kaona jamaa isije ikawa anasepa..

Everyday is Saturday.......................... 😎
 
Wakuu naleta huu Uzi si kwamba kutaka nionekane vp ila nataka tujifunze kitu!

Ilikuwa mwaka 2017 nilikutana dada mmoja jina nalihifadhi nilianzisha uhusiano naye kwa kipindi Cha miez kadhaa na baada ya hapo aliniambia anaujauzito wangu .na mm kwa kuwa nilikula nikilala naye sikuweza kumkatalia kwamba mimba siyo yangu!

Baada ya hapo dada wawatu aliondoka nakuniambia anaekea kwa mama yake maana huku alikuja kikazi tu na kweli nilimruhusu alienda baada ya miez Tisa dada wawatu alijifungua mtoto wa kiume lakin wakat wa ujauzito wake wote nilikua nikihudumia Sasa ni miaka Sasa imepita

Kuna siku aliniambia nimpe mtaji ili awe anajikimu na yy bila kunitegemea mm nilikubali na nilimpa mtaji! Kwa kuwa ilikuwa kipindi Cha masika nilimpa wazo la kulima na kweli alilima na kupata kipato kikubwa tu.

Ilipofka mwez wa Tisa mwaka Jana aliniambia tuwe tunakopesha watu fedha na mm nilikubali na nilimpa mtaji kulingana na nafas yangu
Mwez wa Kwanza ulipofika wakat wakurejesha nilimwambia hyo pesa achukue tu ili aongezee kwenye biashara yake.

Pia ilipofika mwezi wa tatu Nika wambia kwa kuwa ameshakuza mtaji wake kwa pesa zakukopesha hvyo naomba anipatie pesa kias ili nifanyie Mambo yangu alikubali lakin Cha kushangaza ilipofika siku aliyoniambia kwamba atanipatia hyo fedha nilipiga simu soiku ya Kwanza bila mafanikio mwishowe nikafikir labda simu kapoteza lakin baadaye nikajiongeza nikachukua simu ya mtu mwingne nikapiga simu yake dah nilishangaa anapokea simu Tena kwa saut haloholohaloooo!

Kesho yake ilipofika Napo nilipiga simu yake kwa kutumia simu yangu hakupokea

......Sasa Hadi leo hi hapokei simu yangu napata waswas hata hyo mimba sizan Kama ilikuwa yangu maana mwanamke hyu kashakuwa shanganga .. Nimejifunza kitu Kuna baadhi ya wanawake akili zao nizakuona tu kwa macho ngoja nimalizie usingiz wangu!

Nimejifunza.
Nimejifunza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom