moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 8,040
- 16,870
nipe mpya basi kungwi wangu😹😹😹 Hiyo ya zamani achana nayo..!!
nipe mpya basi kungwi wangu😹😹😹 Hiyo ya zamani achana nayo..!!
Na urefu huu wa shingo unataka ivunjweIyo stlye kwanza ushaiweza?
umenena. Bila kumcha Mungu kuwaepuka hawa viumbe ni kazi. Wanatumiwa sana na shetani kuharibu maisha ya watu na ndoa zao.Bora kuwa mcha Mungu kwa ukweli,utaepuka mambo haya;Kina mama tuishi nao kwa Akili!