Wanawake sampuli 3 ! Mimi niko .....

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Mambo
wadau wenza.
Kivyangu mie nimewagawa wanawake katika makundi matatu.
Kama ifuatavyo ;
1. Wenye mvuto mkubwa au mkali.
2. Wenye mvuto wa kati.
3. Wasio na mvuto.
Tatizo ama changamoto la kumiliki mwanamke wa kundi la kwanza, ambae amekamilika na chungu ya vivutio mf. Reception (sura) nzuri sana, saburi hiloo la kumwaga! N.k
Kundi hili utapambana na washindani/wasumbufu wengi,
kwani sampuli ya mwanamke unaemmiliki atakua anatongozwa kila watongozaji wampatiapo wasaa.
KUNDI LA KATI
Kumiliki mwanamke wa kundi hili upinzani na changamoto hua za wastani, fiftyfifty.
Presha inapanda presha inashuka si kwa sana.
KUNDI LA TATU
Kundi hili ukimiliki , basi huyo ni wa kwako tu! Kuna wanawake ambao hata akipita sehemu watu hawajui kama kuna mwanamke kapita.
Wewe mwanaume mwenzangu ungependa umiliki mwanamke kutoka kundi lipi? Nawe mdada utakaepita hapa ungependa uwe kundi lipi kati ya hayo?
Nawasilisha
 
Namchagua ambaye kila nikimtizama the way alivo basi nafurahi na ninapata liziko la nafsi.. Akiwa na tabia nzuri basi ndo nakufa kabisa.. Yaani moyo unamdhondhokeaga tuuu..
 
Mie napenda kundi la 4, anayejitambua akiwa kwenye mahusiano na kuchagua anachotaka.

Pancrease una bahati bakora yangu leo nimeisahau kwenye kahawa, ningekuchapanao sasa hivi !
Kunizalishia kundi la fogo (4)
si ni chakachuaring !
Bladi Jazz bend we! Ndo-mana ndo-mana we!
 
Namchagua ambaye kila nikimtizama the way alivo basi nafurahi na ninapata liziko la nafsi.. Akiwa na tabia nzuri basi ndo nakufa kabisa.. Yaani moyo unamdhondhokeaga tuuu..

Una maana kundi la 3 au ?
 
binadamu wa ajabu wewe hujui tu we tumia wa la 3 lazima watataka kujaribu waone unafaidi nin mpk usikii wala huon ka kuna wengine.
 
mie nataka yule mwanamke ambaye ni mrembo na ambaye pia upendelea kutoa utamu bila strings attached
 
Uwiii! Nashukuru mie kundi la tatu. Nitamilikiwa na mmoja tu kama atapatikana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom