Wanawake safarini hawajui kukataa

Interesting indeed.....kwa hiyo mwanamke akiwa safarini anavaa utu mwingine tofauti na ule wa nyumbani

kwa hali hii kila ukitaka kusafir lazma tusafir wote
 
ww mtoa maada mbona unaanza kunipa was was?
Mke wangu yupo safarin tangu juzi na gari liliwaharibikia njian ikabidi atafute gest alale ili kesho yake aendelee....

Hapo unataka kuniambia nn?

Ukikutana na manyoya?.............
 
Kwani wanajitongoza au wanatongozwa?????? Na watongozaji je, ni maharage ya wapi????????
 
wanawake wanaonewa na mengiiiii looooh.......kwa wanaume je......
 
Mie mke wangu hata nimwache katikati ya mabazazi sita...hawapati kitu...oa mdada anayejielewa na kijiheshimu
 
Kwani wanajitongoza au wanatongozwa?????? Na watongozaji je, ni maharage ya wapi????????
watongozaji wao ni kuni.siyo maharage
kuni zinapimwa kwa uwezo wake wa kutoa joto
 
hii kitu ni kweli kabisa,mtu unaweza kufanya majaribio.
 
aiseee.... Kwahyo ww unafikir wanawake wote wanaokuwa safarini wagegedwa tu.
Hivi kwa mitazamo hii tutajenga familia kweli?

mgiriki kwanini umepatwa na wasiwasi??? Kama hukua na hisia za kugegedwa kwa mkeo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…