Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,685
Wasalaam,
Ikiwa ni jumapili nyingine tulivu kabisa..As tunatoka church na kuongozana na le mbebez wangu baada ya ibada kuisha hapo hapo kwa church compound....nikafanikiwa kukutana na previous work mate kipindi nko kwenye firm flan hapa dar kitambo kdgo, dada flan hivi ki ukweli ni mrembo sana, light skinned and well built....sasa katika kuchangamkiana na kusalimiana nae and laughing pale church nd introducing my woman and all.
Daaah, mwenzangu huku kumbe ana fake smile and charm....ila moyoni amefura balaa....simply cz anahisi my attention ipo kwingine.....sasa katika kuagana na kuelekea kwenye usafiri wetu....yule dada akawa anatembea mbele yetu kidogo....wandugu ki ukweli alivyovaa (very descent) ki ukweli ile outfit imemchora vyema umbo lake na kumfit vizuri mnooo mpaka huku kwenye ukanda wa 0717 ni balaha sanaa u kno....tehe
Sasa mi nikitembea next na huyu mwenzangu huku nyuma ki ukweli nimejikuta nashindwa vumilia nikawa design naibia na kula kwa macho kwa yule aliye mbele yetu.....heee ghafla huyu mwenzangu ananifinya mkono kumuangalia naona amenikazia macho ya hasira balaa.
Yule dada mbele kwa kweli kama alikua anatufanyia kusudi au la mimi sijui cz tulikua na mazoea sanaa huko miaka ya nyuma... kukaribia usafiri wake akageuka nyuma tukaagana tena nikamuahidi if nina any further enquiries nitapitia office kwake for further consultations na sisi tukaelekea kupanda letu hao tukaondoka.
Basi huko kwenye gari ni kununiana jazba sizizo na tija...bad tone of voice. Mpaka hapa mlimani city after buying some stuff, nikipata breakfast ni kusakamwa indirectly tu..yan hii chai naiona nzito sanaa Dah.
Yan nimenote wanawake wengi wakishaona uko na dem mwingine design kama aliyemzidi flan either ki mafanikio au ki urembo, either uko nae kirafiki tu yan ni wana feel so insecure, they feel soo weak nd very jealous ( alaf wengi hawapendani ) yet they hide it... Ni viumbe flan wa ajabu kweli....mi namuombea tu kwa kweli ibada ya leo imuingie asahau.