Duh......mkuu umewaza mbaliSawa mkuu asante kwa kutujulisha kuwa:
1. Mkewako mmbaya
2. Una usafiri
3. Uko addicted na mtandao pendwa- 0713
Ila umesahau kutuambia hiyo chai kama ni ya maziwa au strungi.
Una demu au ulishawahi kua na dem ?? Yaweza ikawa una nyota ya bundi...hahahaThread ya kipuuzi..!una mke then unaeleza upuuzi..utoto wamezidi humu Jf.bored thread.
Poor comment.jiongeze.Una demu au ulishawahi kua na dem ?? Yaweza ikawa una nyota ya bundi...hahaha
Fact is u seem just another broke, lonely & abandoned bastar.d. TehePoor comment.jiongeze.
Umenikumbusha "chai ya sturungi".Sawa mkuu asante kwa kutujulisha kuwa:
1. Mkewako mmbaya
2. Una usafiri
3. Uko addicted na mtandao pendwa- 0713
Ila umesahau kutuambia hiyo chai kama ni ya maziwa au strungi.
Bora unajielewaKuna kitu wadau humu tunashindwa elewana....mimi siku kodolea ile in deep ilikua ni kidogo tu ile kawaida....thing is ile kuchangamkiana, kucheka na ku ahidiana a next meet up plus hyo kupiga chabo baas.....ndio huyu mama kawa mbogo huku.
Ki ukweli napata faraja kuona huyu mwanamke ana mapenzi ya dhati na mimi. I will definitely surprise her wit something that will make her extremely happy.
Ahsante dear..hope ulikwenda church leo.Bora unajielewa
Ni kweli aisee....hahaha asmaa niambie...hujambo ?? Its been a while. LolMwanamke akipunguza wivu pia utakuja hapa kulalamika kwamba lembebez wangu hata anione naongea na simu 10 usiku haniulizi, ITAKUWA ANA BWANA, Utakuja omba ushauri tena na watu watakwambia umuache. kwahiyo binadam hatuna jema kwa lolote. macho hayana pazia kwa jicho la kwaza ruksa, jicho la pili ni la makusudi halina msamaha.
Aisee we umetoa macho kodo acha akumind tu
Pesa..Hebu kati ya pesa na handsome wapenda niniii?
Pesa..
Sijui hataSasa mbona mumeo hakuonei wivu?