Wanawake punguzeni udhaifu wa kupenda kupitiliza, nilichokishuhudia kwa wadada ni somo tosha kwenu

Asee.katika mambo ambayo siwezi kufanya kwa sasa ni kupendana na mwanaume ambaye Hana pesa.
Nilifanyaga kipindi nipo secondary.
Kwa sasa huna hela huna nafasi ya kunipenda.mambo ya kuumiza kichwa ntakula nini na wakati mwanaume ninae ni big noooooo.
Pole sasa sijui utamsaehee
 
Dah...wewe ndiyo shemeji yetu uliyesepa Nini?

Sent using Beretta ARX 160
Its OK maisha hatufanani mkuu, labda shida unayopata pata kuipata 40k, ndivyo mimi naipata 4m. Tuvumiliane tu humu maana waomba misaada wapo humu humu na watoa misaada wapo humu, Jf ni kama uwanja wa fujo, nimekuita mkuu labda tungeonana physically hata salamu yanhu usingestahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom