Wanawake punguzeni udhaifu wa kupenda kupitiliza, nilichokishuhudia kwa wadada ni somo tosha kwenu

Pole kwa dada yako alikosa ata idea ya kufanya biashara na hyo hela.
 
Hahaha mleta mada ulikosea dada yako ungemtafutia mume bora badala ya kumuwezesha kimaisha, aliisha fail 3 times, ulipaswa umuangalie anataka nini yeye, siyo wewe unataka nini.
Baada ya ku fail ungemtafutia mume siyo kazi, wala biashara nzuri. Wapo watakao kusifu, binafsi nimeyapitia hayo na bado ninao madada wamezaa wanaishi kwangu, wanakula na kulala. Siwezi kuwafukuza ila niliamua sijishughulishi nao, huwa wanaenda kwa mabwana zao wanarudi na siulizi, mimi nao ni salamu na story za kawaida tu. Usipate shida huyo siyo mwanao ni dada yako na itakuwa hivyo hadi mwisho.
Kama unaweza mtafutie bwana, hayo mengine utajiumiza kichwa tu. Kama huwezi muache ale raha zikiisha ata adjust mwenyewe yani wewe usijiumize kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wote.

Kuna majambo yamenigusa kutokana na tabia hii ya upendo upofu wa hawa dada zetu. Nimeshuhudia visa hivi viwili miongoni mwa vingi, nikajiuliza wenzetu wameumbwaje?

KISA CHA KWANZA.
Hii naitolea ushuhuda kutoka kwa dada yangu wa baba mmoja na tumbo moja.

Ipo hivi dada yangu wa pili anae nifuatia alifeli kidato cha nne, nikaingia jukumu la kumsaidia kumrudisha shule na bado akafeli, nikamrudisha arudie mtihani kwa mara nyingine bado alifeli. Nikakubalianana usemi kwamba si wote wanaweza kuwa na uwezo wa kufaulu.

Mwaka 2015 nikajipanga nimjenge katika ujasiriamali ili aweze kujitegemea. Nikaamua nimpeleke asome course za computer ili tufungue stationery aiendeshe. Mwezi wa 12 nikafungua stationery kubwa yenye mchanganyiko wa huduma tofauti.

Nashukuru Mungu ndani ya miezi kama 4 hivi tukawa ndio watoa huduma pendwa eneo lile na wateja walikuwa wengi sana. Nikawaza ukiisha mwaka mmoja sister namfungulia ofisi yake ili awe independent.

Kilichonisikitisha ni hiki, kufikia mwezi wa 8 /2016 sister kashika ujauzito, nikataka nione huyo mwanaume wa dada, masikini nilipomwona tu nikajua dada kapotea, alikuwa muhuni tu hata plan ya maisha hana, kapanga chumba hata kitanda hana. Nikamuuliza sister anaplan gani akanijibu anazaa na anataka kuolewa nae. Niliumia sana, kuona malengo nilikusudia yanaelekea kufifia. Nikamshauri asiingie kwenye ndoa mpaka ajijenge kiuchumi, hakutaka kunielewa, nikaitisha wazee wamshauri dada kawagomea. Nikamuuliza akishaolewa anatakaje? Akaniambia atakuja kufanyakazi kwangu. Kwa picha nilivyoisoma nikagundua sister anataka kuchukua jukumu la kumlisha na kumgharamia mwanaume. Nikamwambia achague moja ndoa au kazi, akachagua ndoa. Akawaambia na ndugu zetu wote huko mkoani kwamba mm namzuia asiolewe, familia haikujua ukweli japo niliwaeleza.

Nikaona isiwe shida nikamwambia waende wakafungie ndoa huko huko kijijini, wakafanya hivyo, nikaona nijue uwezo wa akili yao yeye na mumewe, nikampa sister 4million. Uwezi amini ndani ya miezi 3 sister ajanitafuta. Kaja kunitafuta mwezi wa nne, kwamba yule mwanaume kamdhurumu zile hela na katoweka yapata mwezi na akitokea haendi kwa mkewe, wamesuruhisha na wazee wa mwanaume lakini hamna dalili ya uponyaji.

Nikamuuliza sister unasemaje, kaniambia anataka kurudi kwangu tufanye kazi, nimemjibu nimeshaajiri watu tayari, hakuwa na la kufanya, karudi kijijini kajichokea kila nikimwona huwa machozi yananitoka na hata kumpigia simu huwa sipendi kuogopa majonzi.

KISA CHA PILI.
Kuna jirani yetu hapa wamepanga wamezaa watoto wawili, mwanaume kapata kesi ya wizi, ndugu zake wamegoma kumchukulia dhamana, yule mwanamke kamchukulia dhamana mwanaume wake, kutoka tu mwanaume katoroka na mwanamke kakamatwa yuko mahabusu mpaka saa hili.

Uzi tauari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki kisa kimenitia hasira sana ....

Hivi wanawake huu ujinga wa kumpenda mtu kama mama yako mzazi unatokana na nini shwaini yaani daaaaaah :( :( :( :( :( :( :(

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha mleta mada ilikisea dada yako ungemtafutia mume bora badala ya kumuwezesha kimaisha, aliisha fail 3 times, ulipaswa umuangalie anataka nini yeye, siyo wewe unataka nini.
Baada ya ku fail ungemtafutia mume siyo kazi, wala biashara nzuri. Wapo watakao kusifu, binafsi nimeyapitia hayo na bado ninao madada wamezaa wanaishi kwangu, wanakula na kulala. Siwezi kuwafukuza ila niliamua sijishughulishi nao, huwa wanaenda kwa mabwana zao wanarudi na siulizi, mimu nao ni salamu na story za kawaida tu. Usipate shida huyo siyo mwanao ni dada yako na itakuwa hivyo hadi mwisho.
Kama unaweza mtafutie bwana, hayo mengine utajiumiza kichwa tu. Kama huwezi muache ale raha zikiisha ata adjust mwenyewe yani wewe usijiumize kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aise labda ni nilikuwa na mawazo tofauti, nilitaka kumwondoa kwenye shida na manyanyaso wanayoyapitia wadada wasiojiweza kiuchumi. Hilo la kumtafutia mume nitawezaje mkuu, nimtongozeshe au nielekeze mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha humtongozei, ila vijana unaoona wako vizuri fanya nao urafiki wakija home wakishazoea wakawa comfortable wataomba mzigo, sasa hapo we unaongeza urafiki na mwisho wakiisha zoea watabebana watakupunguzia machungu. Wewe utakuwa una suppirt kwa mbaali yani sometimes unawatia sister na shemeji kiaina. Wakishabebana huo msala wake.

Mhhh hayo yako nje ya uwezo wangu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wote.

Kuna majambo yamenigusa kutokana na tabia hii ya upendo upofu wa hawa dada zetu. Nimeshuhudia visa hivi viwili miongoni mwa vingi, nikajiuliza wenzetu wameumbwaje?

KISA CHA KWANZA.
Hii naitolea ushuhuda kutoka kwa dada yangu wa baba mmoja na tumbo moja.

Ipo hivi dada yangu wa pili anae nifuatia alifeli kidato cha nne, nikaingia jukumu la kumsaidia kumrudisha shule na bado akafeli, nikamrudisha arudie mtihani kwa mara nyingine bado alifeli. Nikakubalianana usemi kwamba si wote wanaweza kuwa na uwezo wa kufaulu.

Mwaka 2015 nikajipanga nimjenge katika ujasiriamali ili aweze kujitegemea. Nikaamua nimpeleke asome course za computer ili tufungue stationery aiendeshe. Mwezi wa 12 nikafungua stationery kubwa yenye mchanganyiko wa huduma tofauti.

Nashukuru Mungu ndani ya miezi kama 4 hivi tukawa ndio watoa huduma pendwa eneo lile na wateja walikuwa wengi sana. Nikawaza ukiisha mwaka mmoja sister namfungulia ofisi yake ili awe independent.

Kilichonisikitisha ni hiki, kufikia mwezi wa 8 /2016 sister kashika ujauzito, nikataka nione huyo mwanaume wa dada, masikini nilipomwona tu nikajua dada kapotea, alikuwa muhuni tu hata plan ya maisha hana, kapanga chumba hata kitanda hana. Nikamuuliza sister anaplan gani akanijibu anazaa na anataka kuolewa nae. Niliumia sana, kuona malengo nilikusudia yanaelekea kufifia. Nikamshauri asiingie kwenye ndoa mpaka ajijenge kiuchumi, hakutaka kunielewa, nikaitisha wazee wamshauri dada kawagomea. Nikamuuliza akishaolewa anatakaje? Akaniambia atakuja kufanyakazi kwangu. Kwa picha nilivyoisoma nikagundua sister anataka kuchukua jukumu la kumlisha na kumgharamia mwanaume. Nikamwambia achague moja ndoa au kazi, akachagua ndoa. Akawaambia na ndugu zetu wote huko mkoani kwamba mm namzuia asiolewe, familia haikujua ukweli japo niliwaeleza.

Nikaona isiwe shida nikamwambia waende wakafungie ndoa huko huko kijijini, wakafanya hivyo, nikaona nijue uwezo wa akili yao yeye na mumewe, nikampa sister 4million. Uwezi amini ndani ya miezi 3 sister ajanitafuta. Kaja kunitafuta mwezi wa nne, kwamba yule mwanaume kamdhurumu zile hela na katoweka yapata mwezi na akitokea haendi kwa mkewe, wamesuruhisha na wazee wa mwanaume lakini hamna dalili ya uponyaji.

Nikamuuliza sister unasemaje, kaniambia anataka kurudi kwangu tufanye kazi, nimemjibu nimeshaajiri watu tayari, hakuwa na la kufanya, karudi kijijini kajichokea kila nikimwona huwa machozi yananitoka na hata kumpigia simu huwa sipendi kuogopa majonzi.

KISA CHA PILI.
Kuna jirani yetu hapa wamepanga wamezaa watoto wawili, mwanaume kapata kesi ya wizi, ndugu zake wamegoma kumchukulia dhamana, yule mwanamke kamchukulia dhamana mwanaume wake, kutoka tu mwanaume katoroka na mwanamke kakamatwa yuko mahabusu mpaka saa hili.

Uzi tauari.

Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU,
WEWE NI MUONGO,

KWENYE HICHO KIPENGELE CHA KUMPA MILIONI 4 HICHO NI UONGO KABISA,

LABDA ULIMPA ELFU 40,
HALAFU UNAONGEZA SIFURI MBILI HAPA ILI IWEJE?!?!

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
 
Hiki kisa kimenitia hasira sana ....

Hivi wanawake huu ujinga wa kumpenda mtu kama mama yako mzazi unatokana na nini shwaini yaani daaaaaah :( :( :( :( :( :( :(

Sent using Jamii Forums mobile app
Unawaonea akinamama bure katika mada hii mkosaji ni mwanaume maana mke ni mtiifu na wife material ila dume ni ovyo. Na hata upande wetu wapo waliooa wakaoa wanawake wakawakimbia au vijana tumewaanzishia vimiradi wanafilisika kwakukombwa na wasichana. Mfano mzuri ni jamaa aliyekuwa anasimamia shamba la Mkapa la vikawe alinunua kishamba chake na kujenga pale barabarani Kimele akamleta mkewe toka huko kwao. Kibarua kilipoisha akakuta hata hati mke wake kabadili akamtimua kuwa hana chake. Mwanaume akarudi kijijini kwao. Haya mambo ya kuomba yasikukute tu.
 
Hiki kisa kimenitia hasira sana ....

Hivi wanawake huu ujinga wa kumpenda mtu kama mama yako mzazi unatokana na nini shwaini yaani daaaaaah :( :( :( :( :( :( :(

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimi kaka. Kiungo kidogo lakini kazi yake....we acha tu.
Msela anaweza kuutumia kunadi sera au akautumia kupiga deki ukadhani mwanamke hana miguu anabaki kutaja majina ya wazazi tu
 
Habari zenu wote.

Kuna majambo yamenigusa kutokana na tabia hii ya upendo upofu wa hawa dada zetu. Nimeshuhudia visa hivi viwili miongoni mwa vingi, nikajiuliza wenzetu wameumbwaje?

KISA CHA KWANZA.
Hii naitolea ushuhuda kutoka kwa dada yangu wa baba mmoja na tumbo moja.

Ipo hivi dada yangu wa pili anae nifuatia alifeli kidato cha nne, nikaingia jukumu la kumsaidia kumrudisha shule na bado akafeli, nikamrudisha arudie mtihani kwa mara nyingine bado alifeli. Nikakubalianana usemi kwamba si wote wanaweza kuwa na uwezo wa kufaulu.

Mwaka 2015 nikajipanga nimjenge katika ujasiriamali ili aweze kujitegemea. Nikaamua nimpeleke asome course za computer ili tufungue stationery aiendeshe. Mwezi wa 12 nikafungua stationery kubwa yenye mchanganyiko wa huduma tofauti.

Nashukuru Mungu ndani ya miezi kama 4 hivi tukawa ndio watoa huduma pendwa eneo lile na wateja walikuwa wengi sana. Nikawaza ukiisha mwaka mmoja sister namfungulia ofisi yake ili awe independent.

Kilichonisikitisha ni hiki, kufikia mwezi wa 8 /2016 sister kashika ujauzito, nikataka nione huyo mwanaume wa dada, masikini nilipomwona tu nikajua dada kapotea, alikuwa muhuni tu hata plan ya maisha hana, kapanga chumba hata kitanda hana. Nikamuuliza sister anaplan gani akanijibu anazaa na anataka kuolewa nae. Niliumia sana, kuona malengo nilikusudia yanaelekea kufifia. Nikamshauri asiingie kwenye ndoa mpaka ajijenge kiuchumi, hakutaka kunielewa, nikaitisha wazee wamshauri dada kawagomea. Nikamuuliza akishaolewa anatakaje? Akaniambia atakuja kufanyakazi kwangu. Kwa picha nilivyoisoma nikagundua sister anataka kuchukua jukumu la kumlisha na kumgharamia mwanaume. Nikamwambia achague moja ndoa au kazi, akachagua ndoa. Akawaambia na ndugu zetu wote huko mkoani kwamba mm namzuia asiolewe, familia haikujua ukweli japo niliwaeleza.

Nikaona isiwe shida nikamwambia waende wakafungie ndoa huko huko kijijini, wakafanya hivyo, nikaona nijue uwezo wa akili yao yeye na mumewe, nikampa sister 4million. Uwezi amini ndani ya miezi 3 sister ajanitafuta. Kaja kunitafuta mwezi wa nne, kwamba yule mwanaume kamdhurumu zile hela na katoweka yapata mwezi na akitokea haendi kwa mkewe, wamesuruhisha na wazee wa mwanaume lakini hamna dalili ya uponyaji.

Nikamuuliza sister unasemaje, kaniambia anataka kurudi kwangu tufanye kazi, nimemjibu nimeshaajiri watu tayari, hakuwa na la kufanya, karudi kijijini kajichokea kila nikimwona huwa machozi yananitoka na hata kumpigia simu huwa sipendi kuogopa majonzi.

KISA CHA PILI.
Kuna jirani yetu hapa wamepanga wamezaa watoto wawili, mwanaume kapata kesi ya wizi, ndugu zake wamegoma kumchukulia dhamana, yule mwanamke kamchukulia dhamana mwanaume wake, kutoka tu mwanaume katoroka na mwanamke kakamatwa yuko mahabusu mpaka saa hili.

Uzi tauari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu n 4 m??;; ll au laki NNE!!?una kamba ngum kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom