Wanawake punguzeni udhaifu wa kupenda kupitiliza, nilichokishuhudia kwa wadada ni somo tosha kwenu

Ligaba

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
1,045
2,821
Habari zenu wote.

Kuna majambo yamenigusa kutokana na tabia hii ya upendo upofu wa hawa dada zetu. Nimeshuhudia visa hivi viwili miongoni mwa vingi, nikajiuliza wenzetu wameumbwaje?

KISA CHA KWANZA.
Hii naitolea ushuhuda kutoka kwa dada yangu wa baba mmoja na tumbo moja.

Ipo hivi dada yangu wa pili anae nifuatia alifeli kidato cha nne, nikaingia jukumu la kumsaidia kumrudisha shule na bado akafeli, nikamrudisha arudie mtihani kwa mara nyingine bado alifeli. Nikakubalianana usemi kwamba si wote wanaweza kuwa na uwezo wa kufaulu.

Mwaka 2015 nikajipanga nimjenge katika ujasiriamali ili aweze kujitegemea. Nikaamua nimpeleke asome course za computer ili tufungue stationery aiendeshe. Mwezi wa 12 nikafungua stationery kubwa yenye mchanganyiko wa huduma tofauti.

Nashukuru Mungu ndani ya miezi kama 4 hivi tukawa ndio watoa huduma pendwa eneo lile na wateja walikuwa wengi sana. Nikawaza ukiisha mwaka mmoja sister namfungulia ofisi yake ili awe independent.

Kilichonisikitisha ni hiki, kufikia mwezi wa 8 /2016 sister kashika ujauzito, nikataka nione huyo mwanaume wa dada, masikini nilipomwona tu nikajua dada kapotea, alikuwa muhuni tu hata plan ya maisha hana, kapanga chumba hata kitanda hana. Nikamuuliza sister anaplan gani akanijibu anazaa na anataka kuolewa nae. Niliumia sana, kuona malengo nilikusudia yanaelekea kufifia. Nikamshauri asiingie kwenye ndoa mpaka ajijenge kiuchumi, hakutaka kunielewa, nikaitisha wazee wamshauri dada kawagomea. Nikamuuliza akishaolewa anatakaje? Akaniambia atakuja kufanyakazi kwangu. Kwa picha nilivyoisoma nikagundua sister anataka kuchukua jukumu la kumlisha na kumgharamia mwanaume. Nikamwambia achague moja ndoa au kazi, akachagua ndoa. Akawaambia na ndugu zetu wote huko mkoani kwamba mm namzuia asiolewe, familia haikujua ukweli japo niliwaeleza.

Nikaona isiwe shida nikamwambia waende wakafungie ndoa huko huko kijijini, wakafanya hivyo, nikaona nijue uwezo wa akili yao yeye na mumewe, nikampa sister 4million. Uwezi amini ndani ya miezi 3 sister ajanitafuta. Kaja kunitafuta mwezi wa nne, kwamba yule mwanaume kamdhurumu zile hela na katoweka yapata mwezi na akitokea haendi kwa mkewe, wamesuruhisha na wazee wa mwanaume lakini hamna dalili ya uponyaji.

Nikamuuliza sister unasemaje, kaniambia anataka kurudi kwangu tufanye kazi, nimemjibu nimeshaajiri watu tayari, hakuwa na la kufanya, karudi kijijini kajichokea kila nikimwona huwa machozi yananitoka na hata kumpigia simu huwa sipendi kuogopa majonzi.

KISA CHA PILI.
Kuna jirani yetu hapa wamepanga wamezaa watoto wawili, mwanaume kapata kesi ya wizi, ndugu zake wamegoma kumchukulia dhamana, yule mwanamke kamchukulia dhamana mwanaume wake, kutoka tu mwanaume katoroka na mwanamke kakamatwa yuko mahabusu mpaka saa hili.

Uzi tauari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo......!!?

Lakini kila kitu kina faida kwa Upande Mwingine. Imagine ndo Ungekuwa MIONGONI mwa hio Midume Ungechekelea Mzee

ME huwa inanitokea nawapenda Sana hawa Wasichana Mashombi shombi a. K. a Chotara wa Kihindi na Kiarabu nawaza Kwanini Isitokee anipende hadi azingue kwao nisepe nae mimi kabwela lkn ndo hivo wapiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom