Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,602
- 1,864
Nimejaribu kuwaza kama ingekuwa sisi wanaume ndio tunatolewa barua na ndio ingekuwa tunatongozwa,
Afu ukute ni msichana fulani hivi mrefu si mrefu mfupi si mfupi yaani haeleweki afu ndio anakuja kwenu kuleta barua,
Nimejaribu kufikiria ni msichana fulani hivi jirani yetu hapa ambaye kiufupi vile alivyo ni msichana ambaye hajawahi kunivutia kwa kweli, nimejaribu kuchukulia ndio anakua ananitongoza kila siku,.
Nimejaribu kuwaza ndio anawafata ndugu zangu na watu wangu wa kalibu afu anawaeleza hisia zake namna ananipenda,.
(Kwa kweli nimeishiwa nguvu)
Nimejaribu kuwaza yule mdada mbaya mbaya muuza maji, ndio angekuwa ananitongoza kila siku asubuhi nikienda nunua maji pale kwake, mi naamini ningeama tu bomba,. (Maana nilivyosimpendi yule dada nisingeweza tembea nae labda angenibaka)
Kila nikijaribu kuuvaa uhalisia wenu kipindi mnatongozwa na msio wapenda nimeshindwa pata picha kabisa.
Funzo
Nimeacha na wewe msomaji uache rasmi kumsumbua mwanamke ambaye anasema hakupendi au hakuhitaji,.
Kuanzia leo kila nikiambiwa sikutaki nitakuwa naacha mara moja.
Poleni sana akina dada kwa changamoto mnayoipitia ya kulazimishwa kila siku kuingia katika mahusiano na watu msio wahitaji kwenu.

Sana mzee, mfano nilivyo mbaya hivi afu kuna msichana namsumbua kila siku. Yaani leo nimegundua kumbe kuna mda anatamani hata aame dunia kwa ajili yangu