Wanawake pitieni hapa

Wanawake pitieni hapa

Aniheshimu nimemzaa? 😀
Zaidi ya hilo, atakuheshimuje wakati unao wanaume wengi:
1)Aliyekubikiri lakini hakukuoa
2) Aliyekuoa lakini hukuzaa naye
3) Uliyezaa naye lakini hakukuoa
4) Anayekufikisha kileleni lakini si mmeo
5) Anayekupa matunzo lakini si mmeo
6) Unayeishi naye lakini si mmeo
7) Mmeo
 
wewe unahitaji msaada wa ziada wewe.

Mpaka utalielewa hili swali na utalijibu:

Nimekuuliza hivi, huo uchumi wako wewe unaouongelea bila kuwezeshwa na mwanamke kuanzia upo tumboni hadi leo hii ungeuweza?
 
Mpaka utalielewa hili swali na utalijibu:

Nimekuuliza hivi, huo uchumi wako wewe unaouongelea bila kuwezeshwa na mwanamke kuanzia upo tumboni hadi leo hii ungeuweza?
NANI KAMA MAMA! Hakika ni jibu tosha.

Nafasi ya umama isidharirishwe na wanawake wachache wenye tabia nje ya maadili, kama yalivyoainishwa kwenye mada kuu. Vivyo hivyo kwa wanaume
 
NANI KAMA MAMA! Hakika ni jibu tosha.

Nafasi ya umama isidharirishwe na wanawake wachache wenye tabia nje ya maadili, kama yalivyoainishwa kwenye mada kuu. Vivyo hivyo kwa wanaume
Afadhali mkuu umsaidie hapo mana naona sijui haelewi ama hataki kuelewa mimi nimesha choka kumjibu hoja yake.
 
Swadakta unakuta dume zima linalilia lilipiwe mahari [emoji3] [emoji3] [emoji3]
wanawake mnaparuzana kutwa mzima (wake wenza) mkigombania mwanaume aliyewaweka ndani utafikili zizi la ng'ombe!!
hongereni wanawake mliokataa ujinga huu ila saidieni na wenzenu watoke hapo.
 
Afadhali mkuu umsaidie hapo mana naona sijui haelewi ama hataki kuelewa mimi nimesha choka kumjibu hoja yake.

Hilo unaambiwa wewe, au wewe ni mama mwanamme? Maana'ke sikuhizi mpo.

Usiongelee kabisa uwezo wa mwanamke au mkajidai mnaweza kumwezesha mwanamke. Wengi wenu mpaka mijitu mizima mnalialia kwa mama zenu na dada zenu halafu leo hii mnataka kuleta nyodo humu?
 
Zaidi ya hilo, atakuheshimuje wakati unao wanaume wengi:
1)Aliyekubikiri lakini hakukuoa
2) Aliyekuoa lakini hukuzaa naye
3) Uliyezaa naye lakini hakukuoa
4) Anayekufikisha kileleni lakini si mmeo
5) Anayekupa matunzo lakini si mmeo
6) Unayeishi naye lakini si mmeo
7) Mmeo
Hakika mimi ni MWANAMKE RIJALI
 
Hilo unaambiwa wewe, au wewe ni mama mwanamme? Maana'ke sikuhizi mpo.

Usiongelee kabisa uwezo wa mwanamke au mkajidai mnaweza kumwezesha mwanamke. Wengi wenu mpaka mijitu mizima mnalialia kwa mama zenu na dada zenu halafu leo hii mnataka kuleta nyodo humu?
Kadada unachekesha sana duu!!!
Unauchungu sana na haki yako lakini hujui namna ya kuipata
soma hapo juu then chukua hatua.
 
Kadada unachekesha sana duu!!!
Unauchungu sana na haki yako lakini hujui namna ya kuipata
soma hapo juu then chukua hatua.


Haki yangu niipate mara ngapi?

Vipi mama'ko unaijuwa haki yake?
 
Hakika mimi ni MWANAMKE RIJALI
Ni kweli MWANAMKE RIJALI acheza na WANAUME saba maishani mwake.

Hakika mwanamke 'aweza' haitaji 'kuwezeshwa' kamwe.

Nawe MWANAUME jitambue katika nafasi saba za waume zake mwanamke unashika nafasi ipi? Ni vema ukahakikisha unashika zote, bila shaka hao wanawake wa mada kuu hawatakuwepo.
 
Asante mno kwa kutukumbusha. Binafsi hilo linaniumizaga sana hasa wale waliotegemezi huwa natamani ningekuwa na hela niwape mikopo wooote, mwanamke ukishakuwa tegemezi mwanaume ndo anapata nafasi ya kukudharau bwana
 
Back
Top Bottom