Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,669
- 12,044
- Thread starter
- #21
Mkuu hapo ni kinyume chake wanao jitambua ni wachache wengi bado wanahitaji kufumbuliwa macho ukipitia humu utakuta mada za malalamiko kabao huku mitaani ndio kabisaa.Tumemuelewa sana, after all wengi wetu siku hz tunajitambua sana. Wamebaki wachache ambao ndio wako hivyo.