Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
Una uhakika na ulichoandika kuwa kila kitu wanawake wanachomiliki wanapewa na wanaume??au umejiskia tu kuandika!
Basi we sio mzuri.
Hamnunui viwanja
Hamjengi
Magari mnahongwa
Voucher mnahongwa
Nguo mnapelekwa shopping
Outing mnatolewa
Nguo mnanunuliwa
Kodi za mnalipiwa
Simu mnanunuliwa
Na bado mnapiga mizinga ambayo inawasaidia kwa saloon na pesa ndogondogo za kutuma kwenu
KILA KITU NAFANYIWA (BAADHI), Sasa hiyo mishahara yenu huwa mnafanyia nini? Maana pamoja na kufanyiwa yote hayo lakini unakuta account zenu hazina kitu. PESA ZENU MNAFANYIA NINI?
Hahaha kakudanganya nani no 1 Mpk 3 vyote nimefanya kwa hela yangu,ila sijaolewa bado ni siri yangu na kaka na dada zangu tu.Hizo zingine nashirikisha third party ajinyooshe.Account namuonyesha ile ya mshahara baada ya kuhamisha.
Amekariri tu!!
Mzuri wa nini?acha ubwege kuna wanawake wapiganaji wanajinunulia vitu vya thamani kwa nguvu zao,wanamiliki vitu vya thamani ikiwemo mijengo ya maana na magari makali wakati we unayejifanya kidume unazidi kuwa jeans Mpauko mtaani,acha kukariri kwamba wanawake wote wanaishi kwa kuhongwa!!
Hahaha kakudanganya nani no 1 Mpk 3 vyote nimefanya kwa hela yangu,ila sijaolewa bado ni siri yangu na kaka na dada zangu tu.Hizo zingine nashirikisha third party ajinyooshe.Account namuonyesha ile ya mshahara baada ya kuhamisha.
Akimaliza kukugegeda we ndo unampa hela au yeye ndo anakupa?
Au ndo ka unavyosema siri yako?!