Wanawake pendeni kuvaa nguo za ndani

Wanawake pendeni kuvaa nguo za ndani

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,182
Reaction score
11,779
Yani haka katabia ka wanawake kukata mitaa wakiwa tupu bila nguo ya ndani kameenea sana.

Wanawake ndio fassion au mnarahisisha X kua Y.?
 
Hiyo siku hizi mbona ni kawaida sana
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mbona mnstusema sana!!! Na nyinyi mbona wengi wanatembea makotas yako nje nje
 
Biashara matangazo,wanaume wa kizazi hiki kazi tunayo.
 
ni sababu ya joto...
wengi huogopa kuchubuliwa au kubaki na vialama ya kufuri....
 
Back
Top Bottom