Wanawake pendeni kuvaa nguo za ndani

Wanawake pendeni kuvaa nguo za ndani

Kuna watu wana vituko!!!! Yaani unatokaje bila ya Nguo ya ndani

farkhina;
Kha! Si wanatoka kwa miguu yao tu. Kwani ni lazima kufunika funika maungo yako?? Sijui ni mimi tu, lakini nikikutana na binti, chuchubaa ziko saa 6 halafu hakuzifunika (sidiria) kuogopa ati zitayeyushwa na hilo jua kali. Yaani, najisikia rahaaa ka vile ameniruhusu nizibinye vile. Dah! Ukiingia dala dala, akajigusisha mgongoni!! Wow!! Je dere wa boda2boda, mpaka nauli anasahau kutoza. Jaribu dada farkhina uone utakavyo panda chart
 
kuna picha moja inazungukaga kwenye whasapu inamuonesha dada mmoja alikuwa anadaka ua lililorushwa na bi harusi kwa bahato mbaya nguo aliyovaa ilikuwa fupi halafu ndani hajavaa kufuli. Papuchi ilikuwa yote out inabarizi.
Nadhani wadau wanayo hapa.
Aibu sana.
Kuna picha ingine nimeiona leo asubuhi ni aibu tupu

Picha tunazo TUNAOGOPA CYBERCRIME
 
Hiyo ilikuwa high school, 16/17 nilikuwa msafi kinoma. Back then, nilikuwa narubuniwa ila nakwepa. Nakumbuka washkaji walikuwa wananiambia nitakuja kujutia nafasi zote nilizokuwa nachezea. Mpaka sasa sijutii.

Siku hizi mind yangu ishakuwa corrupted as hell. Kufahamiana ni mandatory. Najaribu kurudia kuwa hata nusu ya that 17 year old me lakini.

Teh teh..nakuelewa bro
 
basi msilaumu..maana na wanaume siku hizi mnavaa zile suruali laini laini sehemu za mbele zajichoresha.na hatulalamiki

Mi sijalaumu bali nafurahia tu iyo freezone yenu.....vp nawew ni mmoja wao?
 
Kwa hiyo kinacholeta joto ni pichu pekee..?? Na sehemu inayosikia joto ni papuchi pekee..??

yaaah kuna wanawake wengine wakivaa chupi wakatembea hasa wakati wa jua kali wanaishia kuwashwa
 
hivi mnajuaje hawajavaa?

Wakikaa wanakaa kikutuonyesha tu kwamba hawajavaa.............
Tena wengine wanasema wenyewe........

Wengine utawasikia... Yaani tangu niache kuvaa chupi, siwashwi, sipati joto na wala sina usumbufu wowote
 
mnaishia kuona tuu?
Wakikaa wanakaa kikutuonyesha tu kwamba hawajavaa.............
Tena wengine wanasema wenyewe........

Wengine utawasikia... Yaani tangu niache kuvaa chupi, siwashwi, sipati joto na wala sina usumbufu wowote
 
Back
Top Bottom