Wanawake pendeni kuvaa nguo za ndani

Wanawake pendeni kuvaa nguo za ndani

Kuna ambao walisema wanaepuka panty lines. Cuz zinawachoresha.

fc1b202768cf08940e55276cf9b12638.jpg
 
Dah! Mi nilijua ukioa kufahamiana ni muda wowote yeyote akijisikia? Halafu kuna jamaa alikuja kulalamika kuwa kamkuta wife wake anapika bila nguo, ndio nikaamini kabisa. Sasa kumbe kuna ratiba tena. Kuna umuhimu wa kujiunga na kanisa ambalo wife haendi basi.

Sio wote aisee ..Kuna wadada hisia zao ziko mbali zaidi..Kuna dada alikuwa ananambia ye hapendi kabisa kufahamiana..Mme wake asipomuomba anaweza kukaa muda mrefu bila kufanya..Nikamwambia labda husband hayuko vizuri..Akaniambia..Nope..Yuko poa na uwa naenjoy..Sema sijawahi kuwa na hamu hata siku moja ya kufanya..Siku zote husband ndo anaomba
 
kuna picha moja inazungukaga kwenye whasapu inamuonesha dada mmoja alikuwa anadaka ua lililorushwa na bi harusi kwa bahato mbaya nguo aliyovaa ilikuwa fupi halafu ndani hajavaa kufuli. Papuchi ilikuwa yote out inabarizi.
Nadhani wadau wanayo hapa.
Aibu sana.
Kuna picha ingine nimeiona leo asubuhi ni aibu tupu
 
Sio wote aisee ..Kuna wadada hisia zao ziko mbali zaidi..Kuna dada alikuwa ananambia ye hapendi kabisa kufahamiana..Mme wake asipomuomba anaweza kukaa muda mrefu bila kufanya..Nikamwambia labda husband hayuko vizuri..Akaniambia..Nope..Yuko poa na uwa naenjoy..Sema sijawahi kuwa na hamu hata siku moja ya kufanya..Siku zote husband ndo anaomba

Dah! Ila hizi habari za kufahamiana zinakuwaga overrated tu mara nyingine. Ma-dame wangu wawili wa mwanzo, sikuwahi kuwa hata na wazo la kufahamiana nao hata sekunde moja mzee. Sikuwahi hata kuwagusa in a typa way. Ila nili-enjoy sana kuwa nao. Na kama sio mazingira, ningekuwa na mmoja wao leo hii.
 
Hahaa..Gud boy..Vipi kwa sasa unaweza??..Mi kupenda kufahamiana ni sifa ambayo msichana inabidi awe hiyo ili niweze kudumu nae lol
 
Hahaa..Gud boy..Vipi kwa sasa unaweza??..Mi kupenda kufahamiana ni sifa ambayo msichana inabidi awe hiyo ili niweze kudumu nae lol

Hiyo ilikuwa high school, 16/17 nilikuwa msafi kinoma. Back then, nilikuwa narubuniwa ila nakwepa. Nakumbuka washkaji walikuwa wananiambia nitakuja kujutia nafasi zote nilizokuwa nachezea. Mpaka sasa sijutii.

Siku hizi mind yangu ishakuwa corrupted as hell. Kufahamiana ni mandatory. Najaribu kurudia kuwa hata nusu ya that 17 year old me lakini.
 
Hii kitu inatutesa sana ..ishawahi kunitokea ndani ya daladala mdada mmoja ana bonge la wezere halafu kavaa vile vitight vyao vinavyonata na mwili then hajavaa pichu, zigo lote kalituliza mbele yangu na hakuna pa kugeuka daaaah!!! nilijutaaaaa Buguruni - ubungo nilipaona kama vile Dar - bukoba
 
Back
Top Bottom