Wanawake pendeni kuvaa nguo za ndani

Wanawake pendeni kuvaa nguo za ndani

Chupi zinabana. Mi navaa chupi siku nne tu ndani ya mwezi
Hahahaha! We kiboko.
kuna wale wengne wanavaa madera then wanachomea dera kwnye pichu ya ndan.. ni shdaa lazma ugeuke 2.

Dah! Ila hizi habari za kufahamiana zinakuwaga overrated tu mara nyingine. Ma-dame wangu wawili wa mwanzo, sikuwahi kuwa hata na wazo la kufahamiana nao hata sekunde moja mzee. Sikuwahi hata kuwagusa in a typa way. Ila nili-enjoy sana kuwa nao. Na kama sio mazingira, ningekuwa na mmoja wao leo hii.

aisee usangi wazima huko? baridi ikoje? nisalimie familia ya juni mziray wambie sisi ni wazima na bibi anaendelea vizuri,vp wale watoto wa lomwe secondary bado wazuri? nakumbuka zamani tukija bush tulikua tunajisevia hadi noma, some time tunavichukua navipeleka shamba kule kama unaelekea jipe!nimemiss usangi december lazima nije.

Lomwe sec sio?

daahh inaleta utamu cna na hamu ya tendo asee

ktk vitu nsivyokumbuka kuvaa pichu n ya kwanza...

wewe ni nani papuchi za wenzako uzipangie masharti?

Mimi Ni Kama Mdau Wa Ushauri.Watembee Hata Uchi Kabisa Nchi Yetu Ni Huru


"Do not compete with any one, do the best to become the best"
 


fc1b202768cf08940e55276cf9b12638.jpg

Safi sana hii

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Hii kitu inatutesa sana ..ishawahi kunitokea ndani ya daladala mdada mmoja ana bonge la wezere halafu kavaa vile vitight vyao vinavyonata na mwili then hajavaa pichu, zigo lote kalituliza mbele yangu na hakuna pa kugeuka daaaah!!! nilijutaaaaa Buguruni - ubungo nilipaona kama vile Dar - bukoba
Hahahaaaa, czani kama muhogo Wa jang'ombe uliachwa salama bila chozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Papuchi ni lazima zipate hewa mwanana.

Yani haka katabia ka wanawake kukata mitaa wakiwa tupu bila nguo ya ndani kameenea sana.

Wanawake ndio fassion au mnarahisisha X kua Y.?
 
Back
Top Bottom