Definitely.....deep in their hearts they know some things are wrong but just because it's what they've been taught all their lives, it's difficult for them change. They'll have to change any wayCognitive dissonance?
hahahaha... my first marriage proposal hapa JF.... if we are to go with theme of the post, it means, i'll have to accept your offer aisee.
On a serious note though... it is sad that women have to go through life constantly fighting stereotypes.
It feels good to make any "FIRST" to your woman, and so with your Yes its safe to say I'm your E-Hubby
Stereotypes are no where close to an end cause ata we apa usha stereotype men chakufanya you only need to stand out and be the odd one
Ndio hana haki zote tunazo sisiMtoa mada kuna mahali unakosea, kwani mwanamke hana haki ya kuchagua mwanaume anaempenda?
Naombapo unisimulie kidogo ulichoobserve kwenye hiyo Sherehe mweeI wish hii argument ya wadada ingekuwa kweli huku mitaani, nahisi tu kuwa wengi wamesahau kuishi uhalisia.
Wiki mbili zilizopita niliattend sherehe moja ya kuvishana pete, OMG! Hadi unaona huruma...virtual life has taken a toll, uhalisia wa maisha unaanza kupotea...
Hayafai kusemwa huku, wenyewe wakipita (kama wapo) watajisikia vibaya. Ila sioni utetezi wa mitandaoni ukiendana na maisha tunayoishi (huku mabwepande).Naombapo unisimulie kidogo ulichoobserve kwenye hiyo Sherehe mwee
Angalia wanawake walivyo wengi kuliko wanaume lakini wanavyoringa sasa just imagine wanaume ndo wangekua wengi afu wao wachache
Kweli kiongozi..mana watu wanataka kuishi maisha wanayoangalia kwenye tamthilia za nje na Hizi modern books zinazohasisha usawa wa kila mtu hadi kwenye kubeba mimba..nina Jamaa angu ndoa yake imedumu miezi 7 tu mwanamke anataka waishi maisha kama ya kina Beyonce kila wanachokifanya wawajuze watu kupitia social media wanazotumia ila sasa hivi wanarushiana vijembe kama wote wanawake nimejitahid kumpa darasa huyu jamaa hatimae kaelewa na anafanya yake huyo mwenzie ndo anakiachia kidude watu wajitafunie amesahau kuwa wana mtoto ambae anajifunza kupitia kwaoHayafai kusemwa huku, wenyewe wakipita (kama wapo) watajisikia vibaya. Ila sioni utetezi wa mitandaoni ukiendana na maisha tunayoishi (huku mabwepande).
Acheni waringe tuu maana wakizigawa papuchi ovyo ovyo mtawasema malaya. Wanawake tunzeni papuchi zenu siyo njugu hizo.Angalia wanawake walivyo wengi kuliko wanaume lakini wanavyoringa sasa just imagine wanaume ndo wangekua wengi afu wao wachache
Hahahaha... that i have stereotyped men? by generalizing? Did I do that?
Well, I understand, some women also comform to these stereotypes...
Any way E-Husbad, if i did that, next time i will exercise caution... not to jump on the bandwagon...
Acheni waringe tuu maana wakizigawa papuchi ovyo ovyo mtawasema malaya. Wanawake tunzeni papuchi zenu siyo njugu hizo.
Single mamaz ndio wa kutumia bcs hawana complications.Acha tuendelee kuwakaza mana wengine wameandikiwa watakuwa nyumba ndogo milele labda atapata bahati ya kuolewa mbinguni..single mamaz watamu ila mpunguze masharti na ukauzu wa kijinga
Sizitaki mbichi hz.I thnk its some1nz personal decision. Mfano mi nataka mtoto tu basi.... mwanangu.... kazi yangu.... maisha yangu na biashara zangu. Kwangu sioni ulazima na wala sioni kwamba bila mume i will be any less of a woman. Ndio kuna wanaokutana na a different situation ila its 2016 i thnk ppo should have an open mind.
Nani kasema?Sizitaki mbichi hz.
Umekuwa mtawa ww ndoa ni part ya maisha hzo habar za u bachelor futa akilin mwako.
Oshii kuna dem alikuwa anadai kwamba ili mrad ana mtoto haon ulazima wa kuolewaNani kasema?
Sizitak mbich hzKabisa my dear,kwa nyakati za sasa ndoa isiwe priority...ikitokea sawa lakini sio nguvu zako zote uziweke kwenye kutafuta mume,kamilisha mipango yako,kama ndoa ipo ipo tu huko mbeleni
Kuna mijitu inapenda kujifariji.na ukiwaangalia wana stress sana yani ikitokea kuna social invent kama harus.
Standards wanazoweka zipo juu.