Wanawake njooo muoneeeee!!!

Wanawake njooo muoneeeee!!!

Huo ni ubazoka na uzumbukuki

Ukifikia hatua iyo kama hujarogwa yaani ni akili yako timamu na umeamua kuwa ndondocha basi ww una laaana na ni chukizo kweny jamii

Foolishness!!!!!!!!!!!!
Mrembo wa JF upo?

Naona huna soko sikuizi unatafuta wanaume kwa nguvu
 
Huo ni ubazoka na uzumbukuki

Ukifikia hatua iyo kama hujarogwa yaani ni akili yako timamu na umeamua kuwa ndondocha basi ww una laaana na ni chukizo kweny jamii

Foolishness!!!!!!!!!!!!
pole sana chief na kama umeoa mkeo anabahati mbaya sana.
 
kumsaidia waifu si uzuzu! UZUZU NI KUMNYANYASA TU! NA SI KUKUNA NAZI TU HATA KUFUA NEPI NI HAKI YAKO WE KIDUME MASHINE USIYEJIELEWA. WAULIZENI WAGOSI WAWAELIMISHE KUHUSU HILO!
kumsaidia waifu si uzuzu! UZUZU NI KUMNYANYASA TU! NA SI KUKUNA NAZI TU HATA KUFUA NEPI NI HAKI YAKO WE KIDUME MASHINE USIYEJIELEWA. WAULIZENI WAGOSI WAWAELIMISHE KUHUSU HILO!
Kwahiyo wagosi wanaume wanafua nepi za watoto na kukuna nazi badala ya wake zao sio?

mbona una madharau hivyo we jamaa?
 
Am here......u 4get m..!

Replied by using timber's smartphone
 
Kupika napika but siwez kusukuma chapat na kukuna nazi. Nikiiwa nashida na nazi nanua ya pakti kam ni chapati napika za kumimina

Sent from my head using brain
 
Mbona hizo kazi za kawaida sana, kumsaidia mke wako ni jambo la msingi tena akiwa katika hali hiyo, acheni kuwafanya Watumwa, tusaidiane kazi
 
Kwahiyo wagosi wanaume wanafua nepi za watoto na kukuna nazi badala ya wake zao sio?

mbona una madharau hivyo we jamaa?
SIO MADHARAU NI KUONESHA THAMANI YA MKE! TATIZO WENGI WANA VIMADA WALIVYO VIPA HESHIMA YA MKE KWA HIYO HATA KUMSAIDIA KUPIKA TU AJALA UFUNDI WAKO WAONA AIBU! LAKINI KAMA NI MKEO HUTAONA AU KUHISI AIBU YOYOTE
 
Hivi kwa nini wanawake mnawapenda wanaume kama hawa???
672d9d025aab4b8b7b5fa442d5ff692f.jpg
Nimekuja nijionee ingawa mimi sio ke!
 
Huo ni ubazoka na uzumbukuki

Ukifikia hatua iyo kama hujarogwa yaani ni akili yako timamu na umeamua kuwa ndondocha basi ww una laaana na ni chukizo kweny jamii

Foolishness!!!!!!!!!!!!
Nilijua lazima alimwe ban alizidi vurugu
 
My wife akiwa n mimba
Yote namfanyia asiyoyaweza

Cc ukhuty

Triple A
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom