Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,324
- 6,657
Hivi kwa nini wanawake mnawapenda wanaume kama hawa???
Ona sasa hili ndio hua halimsaidii hata mkewe jambo lolote..hizo ni chapati anaandaa sio NAZI..[emoji23] bwege weYaani huyo mwanamke anakuna "kitambi" halafu jamaa anakuna "nazi"? Kwani hicho" kitambi" ni ugonjwa?
Naona mwanamke umeitikia witoHuo ni ubazoka na uzumbukuki
Ukifikia hatua iyo kama hujarogwa yaani ni akili yako timamu na umeamua kuwa ndondocha basi ww una laaana na ni chukizo kweny jamii
Foolishness!!!!!!!!!!!!
Mkuu wangu, asante. Sijui unaelewa mtu akiweka alama hizi "..."? Unaelewa maana yake?Kwani kuna mwanamke mwenye kitambi au anakuwa na tumbo kubwa kama si mimba kabisa? Halafu huyo jamaa mbona hana mbuzi ya kukuna nazi? Anasukuma chapati. Basi ndugu yangu jifunze. Mimi hapa nafanya kazi za nyumbani kwa mama Wegesa si kuwa namsaidia. Nafanya kama wajibu. Tafakari.Ona sasa hili ndio hua halimsaidii hata mkewe jambo lolote..hizo ni chapati anaandaa sio NAZI..[emoji23] bwege we
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huna bundle nini ahaaaaa umeangalia picha pasipo kuidownload....mbona yupo na mambo ya disc aka chapati na si kukuna naziYaani huyo mwanamke anakuna "kitambi" halafu jamaa anakuna "nazi"? Kwani hicho" kitambi" ni ugonjwa?
Sahihi. JF huitwa ni kwa "great thinkers"! Sivyo? Sasa basi, kila siku penda kujifunza. Na weye nakuuliza. Unaelewa maana ya alama"..."? Kuna mmoja kama weye nimemjibu. losso Jr. Afadhali yako umeuliza kistaarabu. Yeye alinitukana kabisa. Nimecheza na akili zenu nanyi mmeingia kichwakichwa. Karibu boss!Mkuu huna bundle nini ahaaaaa umeangalia picha pasipo kuidownload....mbona yupo na mambo ya disc aka chapati na si kukuna nazi
Hivi kwa nini wanawake mnawapenda wanaume kama hawa???![]()