Wanawake ni wagumu sana kutuelewa!

Wanawake ni wagumu sana kutuelewa!

Mkuu, wewe ni msomi kweli kweli na kuanzia leo nakutunuku Phd ya heshma, ya kuwa mwangalifu kwa ufya ya watoto. Hongera sana!

Kwaiyo kama mtoto alikuwa ananyonya sumu kwenye titi na wewe ungekufa kipumbavu stupid.!
 
Wanaume wengine Ata haibu hamna Tena unadhubutu kusema nikachukua nyonyo kunyonya mie kuhakikisha hayatoi maziwa, shame on u, muhuni tu ww
 
Duuuh nimecheka mbaya huyu mzee mtafiti sana yupo vizuri baba na mapenzi ya mwanae
 
Sijui kwanini wanawake wagumu sana kuelewa mke wangu aliondoka nyumbani na kumwacha mtoto wetu wa kiume wa miezi 6 akilia.

Dada wa kazi akambembeleza weeee hakunyamaza akamwimbia hakunyamaza akaamua kutoa nyonyo zake na kumpa mtoto mwanangu akanyamaza pale pale akiwa
anamnyonyesha mimi nikaingia nikamuwakia dada.

" Unataka kumuambukiza mtoto magonjwa? "Hapana baba hayatoi maziwa mimi nimempa tu anyamaze!!" . " kweli hayatoi?" nikaamua kuthibitisha nikamtoa mtoto na nikawa nanyonya Mimi. " ni kweli hayatoi.

Hebu hilo lingine! Nalo halitoi?. Mara wife kaingia nikamwambia kuwa nafanya uchunguzi wa nililolikuta hakuamini hebu niambieni wapi nimekosea? Kufuatilia afya ya mtoto ni kosa? Wanawake acheni hizo!
1474538104734.jpg

Aiseee kumbe ndio hivyo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom