Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,539
- 10,007
Vitendo alivyokuwa anafanya R Kelly ni vya kinyama na vya kiudhalilishaji, ila Kwa upande wa pili wanawake ni wa kulaumiwa, Kwa sababu wamekuwa na Tabia ya kupenda watu wenye ela. Japokuwa sio wote wenye ela wanadhalilisha wanawake, ila wengi wa wanaume wenye ela wanawadhalilisha wanawake, ila wanawake wengi ni wasiri hawasemi lakin wanadhalilishwa sana. Kwa hy sio vibaya Kwa mwanamke kumpenda mwanaume mwenye ela, ila wanawake muwe makini na hawa wanaume ambao tayar wanamafanikio kama R Kelly, Kwa sababu wakina R Kelly wako wengi sana.