Wanawake ni wa kulaumiwa kwenye ishu ya R.kelly

Artifact Collector

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
6,539
10,006
Vitendo alivyokuwa anafanya R Kelly ni vya kinyama na vya kiudhalilishaji, ila Kwa upande wa pili wanawake ni wa kulaumiwa, Kwa sababu wamekuwa na Tabia ya kupenda watu wenye ela. Japokuwa sio wote wenye ela wanadhalilisha wanawake, ila wengi wa wanaume wenye ela wanawadhalilisha wanawake, ila wanawake wengi ni wasiri hawasemi lakin wanadhalilishwa sana. Kwa hy sio vibaya Kwa mwanamke kumpenda mwanaume mwenye ela, ila wanawake muwe makini na hawa wanaume ambao tayar wanamafanikio kama R Kelly, Kwa sababu wakina R Kelly wako wengi sana.
 
ALIKUWA ANAFANYAJE? NIMEONA CLIP KAMA ANALIA KUWA ANASINGIZIWA
 
Umemaliza kuandika hapa, kuna mwanamke mwingine atasoma ujumbe, na ataenda kufanya the same!

Kwao sio udhalilishaji...
 
haha ...naona ana kesi ya child support sasa...maana hyo ya udhalilishaji wamemkosa mahakamani!
 
Back
Top Bottom