Wanawake, napungukiwa nini?

Wanawake, napungukiwa nini?

pesa sio kila kitu TRUST ME hapa jf tinaongea tu ila tukitoka hapa na kujifungia chumbani wenyewe tunasema mioyoni mwetu mwanaume tumtakae na pesa huwa haipo kwenye listndo nakwambia sasajitathmini
Huwa una maakili, lakini basi tu.
 
muombe Mungu akupe mke achana na uasherati.......
 
Jibu ni hapani UZINZI ni tendo la mwenye ndoa nje ya ndoa yake
UASHERAI ni tendo la asiye na ndoa......
Hapo kiroho safi

mkuu Bible imeandika mtu asimuache mkewe isipokuwa kwa UASHERATI, sasa mtu ambaye hana ndoa anakuwaje na mke?
 
mkuu Bible imeandika mtu asimuache mkewe isipokuwa kwa UASHERATI, sasa mtu ambaye hana ndoa anakuwaje na mke?
Angalia kamusi yako kwani biblia imetafsiriwa hivyo inaweza kukinzana na kiswahili chenyewe.
 
Kila siku naona mijadala humu kwamba heshima pesa, shikamoo makelee, pia mnasema kama huna pesa wanawake wakali utaishia kuwaita shemeji tu.

Mimi nina kila kitu lakini wanawake wakali, wenye shape za hatari, walioumbika kwa ile namba 8, waliojaliwa neema za allah kila nikiwatupia ndoano wanatema.

Nini tatizo ili nijipime?

Baba unaegundu la kufa shetani hata uoge maji ya magadi huponi, ukimtizama mtoto aliezaliwa leo anakufa, wasichana wa leo HAWAJUI KUKATAA.
 
Kila siku naona mijadala humu kwamba heshima pesa, shikamoo makelee, pia mnasema kama huna pesa wanawake wakali utaishia kuwaita shemeji tu.

Mimi nina kila kitu lakini wanawake wakali, wenye shape za hatari, walioumbika kwa ile namba 8, waliojaliwa neema za allah kila nikiwatupia ndoano wanatema.

Nini tatizo ili nijipime?

Nenda kasafishe nyota!
 
ina wezekana hauna swaga... haupo romantic.... af pesa zako zinakuvimbisha kichwa. bora masikini lkn anikojoreshe kuliko tajir wa kuniacha na genye. pole.
 
kaka jaribu kuwa mwongo mwongo ndo siri ya kufanikiwa katika suala lako,,binti siku zote akiambiwa ukweli haelewi kabisa.
 
Back
Top Bottom