ragin
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,391
- 9,378
Utachanganyikiwa na habr za heshima pesa shikamo kelele, unafkr mwanamke ni mjinga kiac hcho watakao kuja watakua wa kuchuna tu na sio permenet, nawatakujia wawapo na shida tu. Tatizo la wanaume mwanamke akikohoa pesa, lunch ya pam1 pesa ipo mezan tena anatoa bila hata ya kuombwa, kwenye cm salio haliish m_pesa akaunt imejaa aksema baby sina hela leo unatoa fasta hata huulz ya nn hapo mwanamke atapenda pesa tu nahata taka mdumu daima mwanamke anampenda mtu ambae akiombw pesa azungushw kdogo au aulzwe juu ya hela atakayo.