Wanawake, napungukiwa nini?

Wanawake, napungukiwa nini?

Mwenyeezi Mungu anakuepusha na uzinzi wewe unashangaa. Soma:

1 Wakorintho 6
8 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,


9 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.

Loooh!!!!!!!!!!! Kumbe walevi, bora nazingatia kipimo
 
Pesa ndiyo kila kitu lakini mipango siyo matumizi. Hawa viumbe hata kama unapesa vipi lakini ukianza nao vibaya huwapati.
 
pesa sio kila kitu
trust me hapa jf tinaongea tu ila tukitoka hapa na kujifungia chumbani wenyewe tunasema mioyoni mwetu mwanaume tumtakae na pesa huwa haipo kwenye list

ndo nakwambia sasa

jitathmini
nimekupenda bure masai dada umesema kweli tupu
 
Kila siku naona mijadala humu kwamba heshima pesa, shikamoo makelee, pia mnasema kama huna pesa wanawake wakali utaishia kuwaita shemeji tu.

Mimi nina kila kitu lakini wanawake wakali, wenye shape za hatari, walioumbika kwa ile namba 8, waliojaliwa neema za allah kila nikiwatupia ndoano wanatema.

Nini tatizo ili nijipime?

shida inaweza kuwa your mode au technique za kutongoza. binaadamu tupo tofauti sana.
wapo mabinti decent wenye shepu na figure unazotaka trust me sio kila mwanamke mzuri yupo cheap, badildisha approach unayotumia maana ukienda kwa gia ya kuhonga wanakuana huna tofauti wa wengine na lengo lako ni kumchezea tuu. Kwa mfano ukija ukanitongoza kwa gia za hela na magari hutaambulia kitu kwasababu utakuwa umenidhalilisha na kuniaona kama malaya flani hivi..

wapo wadada wanaopenda ela ila jua hao si wakuoa wala wa kuoanga nao maisha maana hautofika popote mapenzi yao ni ya ankara tuu ukichaha utaisoma namba..

lastly angalia usije chukuwa asiekidhi matamanio yako for the sake ya kuwa na mtu au kuogopa kuibiwa alafu kila siku uishie kumeza mate tuu au kuchepuka.
 
Pesa ni tools tu
ndo maana kuna watu wana maduka ya nguo na hawajui kuvaa na kupendeza
na wengine nguo za kuazima tu wakipita sehemu wana onekana....
 
Unaowatafuta wanakila kitu kama we ulivyo watafute waliokosa kila kitu ndo utaona kama utawakosa
 
Kila siku naona mijadala humu kwamba heshima pesa, shikamoo makelee, pia mnasema kama huna pesa wanawake wakali utaishia kuwaita shemeji tu.

Mimi nina kila kitu lakini wanawake wakali, wenye shape za hatari, walioumbika kwa ile namba 8, waliojaliwa neema za allah kila nikiwatupia ndoano wanatema.

Nini tatizo ili nijipime?


Personality ndio kila kitu kwa mwanamke
kama kungekuwa na wataalam wa kukusaidia kuku analyse personality yako na vipi uweze
kui improve basi ingekusaidia sana...
 
Inawezekana unawaonea wivu wale wanaoishi na VVU, sawa itafute na wewe
 
Back
Top Bottom