Wanawake naomba mnijibu hili swali

Wanawake naomba mnijibu hili swali

Ishu wala sio bikira...ishu ni bond mlojenga...!!watu wanakutana bila bikira na bado wanapeana hata km dem akiolewa

Wanawake wengi huishi kwa kufananisha...hua wanatak mtu zaid ya ex wake....!!so pungufu ht moja kwenye uhusiano litamfanya akumbuke mtu mwingine bila kujal alimbikir au lah

Hawa watu hawajawah kuelewek ht mara moja...na ubaya pia hakuna alokamilika....!!sasa hapo mduara wa usaliti hautaisha
 
Back
Top Bottom