Wanawake na Wivu - Rayal wedding

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,711
12,067
Asilimia zaidi ya 93 ya wanawake Tanzania walimwonea wivu Kate kwa kuolewa na Williams.

Hali ilikua mbaya zaidi hasa kwa wale waliolewa na wanzungu,,na wengine walitamani hata waachike na hao wazungu wao, ilmradi tu waolewe na William.

Wengi wao walikua wakifunga ndoa na william ndotoni , huku wakiwa na wa ubavu wao pembeni.

Kifupi wlitamani wangekua wao.

Swali la kujiuliza,huu wivu unatokana na nini ilhali wakijua kwamba wasingeweza kwa namna yeyote ile kukutana na na huyo mjukuu wa malkia?
 
basi nadedicate song ya "20% ya Tamaa mbaya" kwa wote walio na wivu kwa wanaume wa wenzao.
 
hii kali! :happy: wengine hatukujua kama kuna harusi hao ndo kina nani!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Asilimia zaidi ya 93 ya wanawake Tanzania walimwonea wivu Kate kwa kuolewa na Williams.

Hali ilikua mbaya zaidi hasa kwa wale waliolewa na wanzungu,,na wengine walitamani hata waachike na hao wazungu wao, ilmradi tu waolewe na William.

Wengi wao walikua wakifunga ndoa na william ndotoni , huku wakiwa na wa ubavu wao pembeni.

Kifupi wlitamani wangekua wao.

Swali la kujiuliza,huu wivu unatokana na nini ilhali wakijua kwamba wasingeweza kwa namna yeyote ile kukutana na na huyo mjukuu wa malkia?

Ndo kina nani hao ni hiyo harusi ilifungwa lini na wapi??? mbona mie sina taarifa ya ndoa hiyo ya hao kina william sijui kate ndo nani hao??
 
Asilimia zaidi ya 93 ya wanawake Tanzania walimwonea wivu Kate kwa kuolewa na Williams.

Hali ilikua mbaya zaidi hasa kwa wale waliolewa na wanzungu,,na wengine walitamani hata waachike na hao wazungu wao, ilmradi tu waolewe na William.

Wengi wao walikua wakifunga ndoa na william ndotoni , huku wakiwa na wa ubavu wao pembeni.

Kifupi wlitamani wangekua wao.

Swali la kujiuliza,huu wivu unatokana na nini ilhali wakijua kwamba wasingeweza kwa namna yeyote ile kukutana na na huyo mjukuu wa malkia?
hapo red:hata mie ila baada ya kuvishwa pete Kate ndoto ilikata gafla nakawa wa kawaida
 
Asilimia zaidi ya 93 ya wanawake Tanzania walimwonea wivu Kate kwa kuolewa na Williams.

Hali ilikua mbaya zaidi hasa kwa wale waliolewa na wanzungu,,na wengine walitamani hata waachike na hao wazungu wao, ilmradi tu waolewe na William.

Wengi wao walikua wakifunga ndoa na william ndotoni , huku wakiwa na wa ubavu wao pembeni.

Kifupi wlitamani wangekua wao
.

Swali la kujiuliza,huu wivu unatokana na nini ilhali wakijua kwamba wasingeweza kwa namna yeyote ile kukutana na na huyo mjukuu wa malkia?

Hii thread nilidhani ipo kwenye jukwaa la utani, inaonyesha KakaJambazi upo serious, hivi inawezekana kweli wanawake zaidi ya 93% walikuhadithia ndoto zao?
 
Vitu vingine bwana......hiyo asilimia 93 ni wanawake wangapi vile???
 
Asilimia zaidi ya 93 ya wanawake Tanzania walimwonea wivu Kate kwa kuolewa na Williams.

Hali ilikua mbaya zaidi hasa kwa wale waliolewa na wanzungu,,na wengine walitamani hata waachike na hao wazungu wao, ilmradi tu waolewe na William.

Wengi wao walikua wakifunga ndoa na william ndotoni , huku wakiwa na wa ubavu wao pembeni.

Kifupi wlitamani wangekua wao.

Swali la kujiuliza,huu wivu unatokana na nini ilhali wakijua kwamba wasingeweza kwa namna yeyote ile kukutana na na huyo mjukuu wa malkia?

Pole kwa kutamani mume wa mtu(Willium)kama umekosa usingizi kwa aliye Uingereza! Jirani na rafiki zako si ndo wanakoma kwa kuwaibia kwa tamaa na wivu wako wa kijinga! Si WANAWAKE WOTE WANA TABIA KAMA YAKO YA KUTAMANI WACHUMBA NA WAUME WASIO WAO!
 
asilimia zaidi ya 93 ya wanawake tanzania walimwonea wivu kate kwa kuolewa na williams.

Hali ilikua mbaya zaidi hasa kwa wale waliolewa na wanzungu,,na wengine walitamani hata waachike na hao wazungu wao, ilmradi tu waolewe na william.

Wengi wao walikua wakifunga ndoa na william ndotoni , huku wakiwa na wa ubavu wao pembeni.

Kifupi wlitamani wangekua wao.

Swali la kujiuliza,huu wivu unatokana na nini ilhali wakijua kwamba wasingeweza kwa namna yeyote ile kukutana na na huyo mjukuu wa malkia?

jamani kakajambazi mbona mimi haujanihoji?,
hiyo research umeifanya lini na wapi kaka yangu?
 
research imefanywa na redet kwa hisani ya serikali ya ccm na majibu yaliyotoka ndo hayo...... lol! teh teh teh teh............. kwi kwi kwi kwi kwi......... ha ha ha ha ha ha ha ......................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom