Yani imezidi 50%
nilikuwa sijui kwamba kazi ndio gari, yaani ukiwa na kazi tayari una gari. Nilikuwa sijui kama unaweza ukapanda kazi badala ya gari na kudrive mpaka unapotaka kwenda. Ahsante great thinker eiyer kwa kunijulisha hayo.
we ndio I NGOSHA?
Teh,teh,teh,teh,Husna bana,ni kwamba;hayo uliyosema hapo ni moja ya madhara ya kimalezi ya watoto waliokulia kwenye familia iliyowafundisha kuwa utu wa mtu ni vitu,anapokua mkubwa akavikosa anakua hajiamini coz anajiona sio binadamu kamili,yaani hajakamilika mpaka awe na gari au mali.So uliyosema hapo ni maradhi ya kimalezi ambayo yamewathiri sana wanawake na wanaume pia,nikikuambia mimi sio mmoja wao utapata kazi sana kuiamini kauli yangu.Lakini jua tu kwamba mimi ni mwanaume ninaejiamini na ninajua thamani yangu iko ndani yangu haiitaji nyongeza ya chochote ili ikamilike,ilivyo tu imekamilika!Hayo mengine ni utashi na sio uhitaji,ninadili sana na uhitaji sio utashi!
Kipipi usipinge kwa kuwa wewe ni mwanamke ebu angalia rafiki zako wa kike wanaokuzunguka, angalia kwa jicho la kutaka kujua kweli!!
we una gari?
Teh,teh,teh,teh,Husna bana,ni kwamba;hayo uliyosema hapo ni moja ya madhara ya kimalezi ya watoto waliokulia kwenye familia iliyowafundisha kuwa utu wa mtu ni vitu,anapokua mkubwa akavikosa anakua hajiamini coz anajiona sio binadamu kamili,yaani hajakamilika mpaka awe na gari au mali.So uliyosema hapo ni maradhi ya kimalezi ambayo yamewathiri sana wanawake na wanaume pia,nikikuambia mimi sio mmoja wao utapata kazi sana kuiamini kauli yangu.Lakini jua tu kwamba mimi ni mwanaume ninaejiamini na ninajua thamani yangu iko ndani yangu haiitaji nyongeza ya chochote ili ikamilike,ilivyo tu imekamilika!Hayo mengine ni utashi na sio uhitaji,ninadili sana na uhitaji sio utashi!
Kipipi,yes,ukweli ni huo mnabisha kwa sababu ya jinsia na ndo mlivyo,pia hapa suala sio mwanamke wala msichana suala hapa ni malezi,hautaweza kujua hili mpaka uwe muathirika,as long as wewe ni mtendaji huwezi kuuona ukweli!
Mmmh..Madem wa ckuhizi wakipewa MAKAVU WANAWAKA HAO.. mkuu I-NGOSHA upo hapo?Au Vogue yako bado iko majini? Hahahahaaa.. Kaazi kwelikweli
Husninyo: Wwe una Mume,Mchumba or BF?
At early 20s huwa hawaoni but subiri akifika 30s ndo anajuta.
demu dada yako.
Inawezekana ndo yupo kwenye michakato ya kujiweka sawa katika ajira kutokana na mikwamo ya hapa na pale iliyotokea!!Eiyer unashangaza....
Yaani hutambui hata biblia imesema asiyefanya kazi na asile?
Sasa huyo mume jobless wa kazi gani?
Watoto wa kiume siku hizi hovyo sana, wanataka miteremko tu ndo maana utaskia 'natafuta jimama linilee...'Inawezekana ndo yupo kwenye michakato ya kujiweka sawa katika ajira kutokana na mikwamo ya hapa na pale iliyotokea!!